Ni maeneno Gani mengine ya kiingereza wanayopenda kuyatumia watu Ukiacha 'Maybe na sorry'

Rekebisha, Tanzania hatutumii neno sorry labda kwenye Bongo muvi. No, tomorrow, wait, next week.
Kama umemkanyaga mtu kwa bahati mbaya we unamwambiaje mkuu

(Pambana na hali yako) ..# Kwetu Mwanza Nyegezi#
 
Yes we can nmeona. Simba wanalitumia now days

(Pambana na hali yako) ..# Kwetu Mwanza Nyegezi#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…