Ni maeneo gani hapa Dar hayana baa za kusisimua mwili ili nihamie?

Kuhama sio solution,

Nakushauri tafuta Mwanamke uoe ili uanze kua serious na maisha,

Umri wa miaka 29 ulitakiwa kengele yako ya Kichwani ianze kukushtua kua umri unaenda,

Ni ushauri tu,the rest it's up to you.
 
Huna mke, huna mtoto ila una kilo 92..so umezipataje hizo kilo
 
Bahati mbaya mlio weeengi humu mmejisahau au hamjui target ya huyu jamaa.

Hapa alikuwa anapiga promo la hiyo bar na si kingine, angalia uandishi wake, ameanza kuandika na kukimbilia issue ya bar + wauzaji.
 
Oa dogo...majukumu yakikushika izo issue utazipuuzia!
Nili0a mke kambia kisa eti narudi usik7
Bahati mbaya mlio weeengi humu mmejisahau au hamjui target ya huyu jamaa.

Hapa alikuwa anapiga promo la hiyo bar na si kingine, angalia uandishi wake, ameanza kuandika na kukimbilia issue ya bar + wauzaji.
Yani Mi nipigie promo bar kubwa kama ile dah...
 
"siwezi pretend maisha naipenda tabia yangu..!!"
Sijui nikoje saa ingine nakera..๐Ÿบ
 
Hamia goba mpkani,mpiji magohe hutajuta,yaani ni sauti za ndege tu I'll watu wapo
 
Vibe la TNT linanogeshwa na watoto wa Kampala nakushauri hamia mitaa ya kwa mkolemba, kwa diwani, chuo rada, bwela nk.
 
We nae muongo uhamie mitaa hiyo halafu usiione hiyo baa ilivyo barabarani kabisa?
 
We nae muongo uhamie mitaa hiyo halafu usiione hiyo baa ilivyo barabarani kabisa?
Hahaha Unanipinga wewe! Kwenye uzi wa kutumia mkongo pia unanipinga haha sawa buana..
 
Hahaha Unanipinga wewe! Kwenye uzi wa kutumia mkongo pia unanipinga haha sawa buana..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kumbe ndio wewe unatumia mkongo ungali kijana?ndio maana hukuiona bar mahalo peupe vile mkongo unaua macho yako
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kumbe ndio wewe unatumia mkongo ungali kijana?ndio maana hukuiona bar mahalo peupe vile mkongo unaua macho yako
Sometimes Tunatafuta Furaha kwa njia hata za u0ng0 humu... ๐Ÿคฃ
 
Oa wake 2
Watakuhudumia vizur na utakuwa na majikumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ