Ni maeneo gani jijini Dar es salaam umewahi kupotea, na mpaka leo bado yanakuchanganya?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,150
Reaction score
2,325
Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya azam icecream sijui pale..maana kila mtu alifata mahitaji yake...

Sasa mimi baada ya kupata nilichofata.nikawa sasa nataka niende pale tuliposhukia gari na mwenzangu wakati tunakuja....daah kila nikipita pita najikuta natokezea tu pale pale azam.kuuliza watu nikawa naona jau...kudadadeki nikaamua kugharamia boda mpka machinga complex pale nikapigika 10000 ya boda...pale ndo nikadandia gari ya mbagala...ilikuwa 2013 hiyo ..hahaha
 
Hivi hapa nimejikuta napita mtaa ambao sikuutegemea na wala siujui kisa kukwepa vumbi lililokuwa likitimuliwa na lori lililokues likija upande wangu.

Kila nikikatiza naona kote panafanana, kote kuna chochoro kumbe bahati mbaya chocho nyingine zinaishia chooni kwa watu, kuuliza majirani naona how comes, kidume nikakaza mpaka nikatokea lami nikiwa nimechoka sana!.
 
hahaha..na mimi suala kuuliza kwangu ni mtihani sana
 
kupotea njia au mtaa uliopita dakika chache zilizopita ni dalili ya shida ya afya ya akili. naruhusu kuokotewa mawe 🙂
 
Huko dar itakuwa kuna majini . Kipindi naishi huko dar tegeta kwa ndevu niliwahi kusahau njia ya kuelekea home.
Sikuwa mgeni maeneo hayo niliishi mda mrefu lakini chakushangaza siku moja nimeshuka kwenye dala dala lakini njia ya kuelekea home siioni.
 
wenye jiji lao wanaita ulikanyaga mdudu(jini).Kuna jamaa ni staff mwenzetu alikuwa anaishi Tandale ofisi iko Kurasini njia yake kuu ni fire-anakuja gerezani anadaka chuma kilwa road.
Alitusimulia siku moja Alishuka fire kuitafuta gerezani alipote,kila akirudi yuko fire
 
Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya azam icecream sijui pale..maana kila mtu alifata mahitaji yake...

Sasa mimi baada ya kupata nilichofata.nikawa sasa nataka niende pale tuliposhukia gari na mwenzangu wakati tunakuja....daah kila nikipita pita najikuta natokezea tu pale pale azam.kuuliza watu nikawa naona jau...kudadadeki nikaamua kugharamia boda mpka machinga complex pale nikapigika 10000 ya boda...pale ndo nikadandia gari ya mbagala...ilikuwa 2013 hiyo ..hahaha
Mitaa ya Gerezani ya Kariakoo Ina mitaa inafanana mno.
 
Ungenyosha tu Hadi Lumumba ukadandia Gari za Tandika zinazotoka Muhimbili au za Kinyerezi na Tabata
 
Back
Top Bottom