dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,150
- 2,325
hahaha..na mimi suala kuuliza kwangu ni mtihani sanaHivi hapa nimejikuta napita mtaa ambao sikuutegemea na wala siujui kisa kukwepa vumbi lililokuwa likitimuliwa na lori lililokues likija upande wangu.
Kila nikikatiza naona kote panafanana, kote kuna chochoro kumbe bahati mbaya chocho nyingine zinaishia chooni kwa watu, kuuliza majirani naona how comes, kidume nikakaza mpaka nikatokea lami nikiwa nimechoka sana!.
Mitaa ya Gerezani ya Kariakoo Ina mitaa inafanana mno.Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya azam icecream sijui pale..maana kila mtu alifata mahitaji yake...
Sasa mimi baada ya kupata nilichofata.nikawa sasa nataka niende pale tuliposhukia gari na mwenzangu wakati tunakuja....daah kila nikipita pita najikuta natokezea tu pale pale azam.kuuliza watu nikawa naona jau...kudadadeki nikaamua kugharamia boda mpka machinga complex pale nikapigika 10000 ya boda...pale ndo nikadandia gari ya mbagala...ilikuwa 2013 hiyo ..hahaha
Hata mimiMitaa ya posta inani vurugaga sana
Ungenyosha tu Hadi Lumumba ukadandia Gari za Tandika zinazotoka Muhimbili au za Kinyerezi na TabataMimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya azam icecream sijui pale..maana kila mtu alifata mahitaji yake...
Sasa mimi baada ya kupata nilichofata.nikawa sasa nataka niende pale tuliposhukia gari na mwenzangu wakati tunakuja....daah kila nikipita pita najikuta natokezea tu pale pale azam.kuuliza watu nikawa naona jau...kudadadeki nikaamua kugharamia boda mpka machinga complex pale nikapigika 10000 ya boda...pale ndo nikadandia gari ya mbagala...ilikuwa 2013 hiyo ..hahaha
Los Angeles, Washington, new York city, Joburg, London,Sasa kama mtu unapotea dar..hapo cbd Nairobi utapaweza kweli?
Kwa mgeni wa Jiji lazima apotee potee Sanaa maana magorofa na wingi wa watu ni nomaMitaa ya Gerezani ya Kariakoo Ina mitaa inafanana mno.
umenikumbusha movie zinazotafriwa na akina dj mack...wanatajaga sana hizo mitaaKariakoo bado sijapaelewaga sjui narungombe na likoma, ndanda na masasi
los angeles ipi?Los Angeles, Washington, new York city, Joburg, London,
Unapotea Jiji la chalamila 😔
nilikuwa nishavurugwaUngenyosha tu Hadi Lumumba ukadandia Gari za Tandika zinazotoka Muhimbili au za Kinyerezi na Tabata