Ni maeneo gani mazuri kujenga Iringa kwa mtu mwenye kipato cha kati?

Ni maeneo gani mazuri kujenga Iringa kwa mtu mwenye kipato cha kati?

The Conscious

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2021
Posts
740
Reaction score
1,218
Habar wakuu,

Tafadhar naomba kufahamishwa kuwa ni maeneo gan mazur kwa Ujenz kwa mtu mwenye kipato cha kati na aina ya tofar zinazotumika katika ujenz na wakaz wa mji huo.

Maeneo mazur kwa kigezo cha huduma za jamii,Umem,maj na barabar na muingilian wa watu.
 
Maeneo mengi ya karibu sana na mjini yapo occupied viwanja sio rahisi kupata.....ila unaweza pata kama Flerimo,mwangata, majengo mapya na mawelewele ambako ni mbali kiasi na mjini (dakika 20 kwa usafiri wa bajaji) ila kuna viwanja na makazi mapya, nssf walinunua maeneo wakaweka vizuri na kupima sahizi wanauza kwa watu wanajenga.....

Pia huko kuna office ya mkuu wa wilaya, rami ipo, hospital ipo flerimo dakika 10 kutoka mawelewele, maji etc sio shida.....

Hizo sehemu ni karibu kiasi na mjini and zipo vizuri kwa huduma za kijamii na rami ipo
 
Ukipata kiwanja au ukisikia kiwanja kinauzwa uulizie ili tukupe ushauri mkuu ila mitaa ya karibu na town na yenye muingiliano na watu ni hiyo ilala, flerimo, mawelewele, mwangata, ipogolo, kibwabwa (japo ni mbali kiasi ila nako ujenzi mwingi unaendelea sahizi) etc
 
Tofari zinazotumuka inategemea na wewe mwenyewe naona blocks zinatumika sana katika ujenzi kule mawelewele ila pia kuna tofari za kuchoma zinatumika maeneo hayohayo so ni maamuzi tu.
 
Maeneo mengi ya karibu sana na mjini yapo occupied viwanja sio rahisi kupata.....ila unaweza pata kama Flerimo,mwangata, majengo mapya na mawelewele ambako ni mbali kiasi na mjini (dakika 20 kwa usafiri wa bajaji) ila kuna viwanja na makazi mapya, nssf walinunua maeneo wakaweka vizuri na kupima sahizi wanauza kwa watu wanajenga...
Asant san br
 
Igumbilo karibu na stand Mpya,vimepimwa umeme maji vipo
 
Mawelewele kupo fresh usafiri mda wote mbaka town 20min bajaji

Frelimo ndo karibu kbsa na town
Iringa hakujawah kuwa na shida ya maji wala umeme ppte pale
 
Back
Top Bottom