The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Asant san brMaeneo mengi ya karibu sana na mjini yapo occupied viwanja sio rahisi kupata.....ila unaweza pata kama Flerimo,mwangata, majengo mapya na mawelewele ambako ni mbali kiasi na mjini (dakika 20 kwa usafiri wa bajaji) ila kuna viwanja na makazi mapya, nssf walinunua maeneo wakaweka vizuri na kupima sahizi wanauza kwa watu wanajenga...
Hamna shida mkuu anytime ukikwama ama ukihitaji taarifa kujusu iringa nijulishe mkuu.Asant san br
Mkuu hivi kule mtwivila ya chini kabisa karbu na donbosco viwanja vinacheza kwenye bei gani?mtwivila uje huku sisi tupo karibu na don bosco
2.5 hadi 5ml kulingana na eneo kilipo( umbali kutoka barabara kuuMkuu hivi kule mtwivila ya chini kabisa karbu na donbosco viwanja vinacheza kwenye bei gani?
Shukrani mkuu...ni reasonble price nitfnya kitu december.2.5 hadi 5ml kulingana na eneo kilipo( umbali kutoka barabara kuu
mil 4~ 4.5Mkuu hivi kule mtwivila ya chini kabisa karbu na donbosco viwanja vinacheza kwenye bei gani?
au nenda semtema.au kule kalenga mbn pazuri lamiShukrani mkuu...ni reasonble price nitfnya kitu december.
Asante mkuu....shukran kwa taarifaau nenda semtema.au kule kalenga mbn pazuri lami