G goxum10 Senior Member Joined Apr 1, 2020 Posts 179 Reaction score 210 Sep 13, 2020 #1 WanaJF nilikuwa naomba kujuzwa maeneo mbali mbali ninapoweza kujifunza martial arts yoyote ile (karate, kickbox, boxing, kungfu ) pamoja na gharama zao. Asanteni wakuu
WanaJF nilikuwa naomba kujuzwa maeneo mbali mbali ninapoweza kujifunza martial arts yoyote ile (karate, kickbox, boxing, kungfu ) pamoja na gharama zao. Asanteni wakuu
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 Sep 13, 2020 #2 Nenda kaulizie Chang'ombe
elly obedy JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 803 Reaction score 1,482 Sep 13, 2020 #3 Nenda pale Mambo poa
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Sep 13, 2020 #5 Chamwino pale. Stone ana mkanda mweusi.
G goxum10 Senior Member Joined Apr 1, 2020 Posts 179 Reaction score 210 Sep 13, 2020 Thread starter #6 elly obedy said: Nenda pale Mambo poa Click to expand... Gharama zao
elly obedy JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 803 Reaction score 1,482 Sep 14, 2020 #7 goxum10 said: Gharama zao Click to expand... Sikumbuki vizuri mkuu maana ni miaka kama 15 iliyopita,na nilikuwa nalipiwa na baba yangu ,ila ilikuwa haizidi elfu10 kwa mwezi kwa mafunzo ya karate.
goxum10 said: Gharama zao Click to expand... Sikumbuki vizuri mkuu maana ni miaka kama 15 iliyopita,na nilikuwa nalipiwa na baba yangu ,ila ilikuwa haizidi elfu10 kwa mwezi kwa mafunzo ya karate.
G goxum10 Senior Member Joined Apr 1, 2020 Posts 179 Reaction score 210 Sep 14, 2020 Thread starter #8 elly obedy said: Sikumbuki vizuri mkuu maana ni miaka kama 15 iliyopita,na nilikuwa nalipiwa na baba yangu ,ila ilikuwa haizidi elfu10 kwa mwezi kwa mafunzo ya karate. Click to expand... Shukrani mkali .....ngoja nikucheki pm
elly obedy said: Sikumbuki vizuri mkuu maana ni miaka kama 15 iliyopita,na nilikuwa nalipiwa na baba yangu ,ila ilikuwa haizidi elfu10 kwa mwezi kwa mafunzo ya karate. Click to expand... Shukrani mkali .....ngoja nikucheki pm