Ni maeneo ya kujifunzia martial arts jijini Dodoma?

Ni maeneo ya kujifunzia martial arts jijini Dodoma?

goxum10

Senior Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
179
Reaction score
210
WanaJF nilikuwa naomba kujuzwa maeneo mbali mbali ninapoweza kujifunza martial arts yoyote ile (karate, kickbox, boxing, kungfu ) pamoja na gharama zao.

Asanteni wakuu
 
Sikumbuki vizuri mkuu maana ni miaka kama 15 iliyopita,na nilikuwa nalipiwa na baba yangu ,ila ilikuwa haizidi elfu10 kwa mwezi kwa mafunzo ya karate.
Shukrani mkali .....ngoja nikucheki pm
 
Back
Top Bottom