Ni mafuta gani mazuri ya kichwani kwa wanaume?

makuna202

Senior Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
115
Reaction score
20
Habarini wana JF
Naombeni mnijuze ni mafuta yapi mazuri kwa mwanaume mwenye nywele fupi tu za wastani. Yapi yanapendezesha nywele na kuzifanya ziwe nadhifu na za kuvutia?
 
Tumia black velvet au MPL ya maji ni mazuri kati ya hayo ukipata yapo poa Kkoo maduka ya vipodozi yapo mengi tuu...
 
Vatika (coconut enriched hair oil) siyo mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…