Inamonga
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 779
- 474
Hivi yale mafuta ya nywele ukilaka unahisi kama kaubaridi ka vicks kingo kamepenya kwenye kichwa yanaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanaitwa mafuta kaubalidiHivi yale mafuta ya nywele ukilaka unahisi kama kaubaridi ka vicks kingo kamepenya kwenye kichwa yanaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
OkYanaitwa mafuta kaubalidi
post using my macbook air using jamiiforums app
Kwa nnayo yajua yanaitwa SoulMate SulphurHivi yale mafuta ya nywele ukilaka unahisi kama kaubaridi ka vicks kingo kamepenya kwenye kichwa yanaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulipokuwa wadogo marehemu bibi alitutengenezea ukishawekewa kwenye kichupa unatafuta uaridi unaweka ndani
Yanaweka nywe kwenye muonekano gani? Naweka kupaka mimi ambae nywele zangu hazina dawa?Afro American, hautajutia kuyatumia..
Mimi najua Radiant na Virgin! Ndio yanaleta kaubaridiiiHivi yale mafuta ya nywele ukilaka unahisi kama kaubaridi ka vicks kingo kamepenya kwenye kichwa yanaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji144]Yanaitwa mafuta kaubalidi
post using my macbook air using jamiiforums app
Yanauzwaje?ojojoo yapo vizur saana na yanakuza nywele haraka ila bei yake ipo juu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unanyoa kipara kumbe?wanaume wanapaka mafuta kichwani kumbe?