Ni mafuta gani mazuri ya kupakaa mwilini yanayolainisha ngozi bila kuchubua?

Ni mafuta gani mazuri ya kupakaa mwilini yanayolainisha ngozi bila kuchubua?

Super women 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
5,164
Reaction score
6,540
Habari
Nina rangi ya maji ya kunde, kwa mwenyewe kujua mafuta mazuri yasiyochubua, Ila yanalainisha ngozi na kuiweka nyororo.
naomba kuyajua.
ngozi yangu ni ya mafuta.
Asanteni..
 
Nafikiri pia zinachagua, mie ngozi yangu ya mafuta nilitumia ikanitoa chunusi balaa. Nikajutia tu pesa yangu[emoji24] [emoji24]
Labda zinachagua, mimi pia nina ngozi ya mafuta lakini inanisaidia nina products zao nyingi sana, kuanzia Lotion, shower gel, scrub, and much more huku nikiongezea na vitu vya asili.

I love my skin[emoji847]
 
Ebu tuone picha za hzo bidhaa
 
Back
Top Bottom