Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
- #21
Asante SanaRaw Shea butter na argan oil hutajutia hazibadilishi rangi ya ngozi ni moisturizer nzuri sana.na very affordable
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante SanaRaw Shea butter na argan oil hutajutia hazibadilishi rangi ya ngozi ni moisturizer nzuri sana.na very affordable
Karne hii bado watu mnasubiri picha badala ya kugoogle na jina ushapewa.Ebu tuone picha za hzo bidhaa
NakaziaRaw Shea butter na argan oil hutajutia hazibadilishi rangi ya ngozi ni moisturizer nzuri sana.na very affordable
Sh ngap haya dear?Raw shearbutter +argani oil
Raw shear butter+jojoba oil na kwakua una ngozi ya mafuta changanya na serum ya pure glow..itafanya hiyo lotion upakae mwili mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Raw shear robo 25000+ jojoba 12000 au argan hua kwenye 12 hadi 16000 + pureglow serum 30000 hadi 35000 na unaweza pakaa kwa muda mrefu sana
Asante hyo jojoba nayo ni ya kuchanganyia kwenye mafuta?Hiyo Raw shear robo 25000+ jojoba 12000 au argan hua kwenye 12 hadi 16000 + pureglow serum 30000 hadi 35000 na unaweza pakaa kwa muda mrefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] bei za kupeleka gari garage, mwenzetu ndo mafuta yake ya sura. Not seriousHiyo Raw shear robo 25000+ jojoba 12000 au argan hua kwenye 12 hadi 16000 + pureglow serum 30000 hadi 35000 na unaweza pakaa kwa muda mrefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
.mtaka vya uvunguni sharti ainame[emoji2] [emoji2] [emoji2] bei za kupeleka gari garage, mwenzetu ndo mafuta yake ya sura. Not serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia kitu cha nazi kinaitwa mnara hicho unaanzia kwe nywele mpaka unyayo na unakuwa mrembo natural
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Mwamposa!Habari
Nina rangi ya maji ya kunde, kwa mwenyewe kujua mafuta mazuri yasiyochubua, Ila yanalainisha ngozi na kuiweka nyororo.
naomba kuyajua.
ngozi yangu ni ya mafuta.
Asanteni..