Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Garners!!!Jaribu bidhaa za Garners hutajuta.
My bad...Garners!!!
glycerin na ngozi yake ya mafutaMimi ninapaka Aveeno products lakini nimesika hapa hapa jukwaani kuwa glycerin ya Zambia ni nzuri.
Sikusoma vizuriglycerin na ngozi yake ya mafuta
Nafikiri pia zinachagua, mie ngozi yangu ya mafuta nilitumia ikanitoa chunusi balaa. Nikajutia tu pesa yangu[emoji24] [emoji24]Jaribu bidhaa za Garnier hutajuta.
Labda zinachagua, mimi pia nina ngozi ya mafuta lakini inanisaidia nina products zao nyingi sana, kuanzia Lotion, shower gel, scrub, and much more huku nikiongezea na vitu vya asili.Nafikiri pia zinachagua, mie ngozi yangu ya mafuta nilitumia ikanitoa chunusi balaa. Nikajutia tu pesa yangu[emoji24] [emoji24]
Hata hivyo unaonekana ww ndo mtumiaji wa hayo 😂😂Alizet
Ebu tuone picha za hzo bidhaaLabda zinachagua, mimi pia nina ngozi ya mafuta lakini inanisaidia nina products zao nyingi sana, kuanzia Lotion, shower gel, scrub, and much more huku nikiongezea na vitu vya asili.
I love my skin[emoji847]
Original bongo zinapatikana kweli hizi lotion za hii brand??Mimi ninapaka Aveeno products lakini nimesika hapa hapa jukwaani kuwa glycerin ya Zambia ni nzuri.