Ni mafuta kiasi gani yanakuwa yamebakia pale fuel bar inapoanza kublink kwenye gari yako?

mimi huwa naongeza mafuta ila taa haizimi wakati mwingine
 
Kwa wenye brevis kila kitu kinajieleza kwenye screen, unatakiwa kuijua gari yako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…