Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Njoo unifanye nami nicheke maana mwaka wa 4 sasa sijatabasamu
No. 3 ni hypoglycemia.1.sleep apnea
2.stroke ,rupture of brain aneurysm
3.hyoglycemia(kiwango cha sukari kushuka)
4.tatizo kwenye umeme wa moyo(ie tachyacradia,bradycardia,atria fibriliation)
5.damu kuganda na kuziba mishipa ya damu kwenye mapafu(pumonary embolism)
6.drug overdose before sleeping
Call it Low or high blood pressure!High blood pressure inaweza kuwa ya kushuka au ya kupanda
๐๐๐wala usihofu muamala utafika kwa basi la mwendo kasihahahahhaa eti nitangulie.๐๐
nafika pale naaguza bucket ya desperado..๐๐muamala haujasoma๐๐dadek nitafanya kama.najikuna..
[emoji23][emoji23]kwann hucheki?mie hakuna siku sijacheka.jaman... napenda kucheka wala sijivungi.. had hubby ananifinyaga..khaa.pole..
kuna ada kidg..๐duh! kweli umebarikiwa! Mie kucheka nlishasahau kabsa, Itabidi nikutafute uanze matibabu maana sitaki nami kufariki nimelala
Call it Low or high blood pressure!
Common names hypotension and hypertension
kuna ada kidg..[emoji4]
๐๐๐๐Hilo ondoa shaka kbs, wewe ni pm tu # zako doctor wangu
Wakafuye go, niwe uje uchiyane obhusombokerwa bhwakisi go!Siwabhakii mulawee!!! [emoji3][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheka doctor nahitaji kutibiwa
Level ya roho mbaya yangu ni sawaa na uchumi wa sasa(uchumi wa kati).kwanza nataka kujua level yako ya roho mbaya na ukatili..inaonesha ww katili[emoji5].. una familia.[emoji4]?
๐๐๐ basi nawezq kuihandle hyo hali.. mimi nipo uchumi wa juu kidg..SA..kama family bado iko kiunoni bas ww nakuweza tu๐Level ya roho mbaya yangu ni sawaa na uchumi wa sasa(uchumi wa kati).
Family bado natembea nayo. Hahaa
[emoji23][emoji23][emoji23] basi nawezq kuihandle hyo hali.. mimi nipo uchumi wa juu kidg..SA..kama family bado iko kiunoni bas ww nakuweza tu[emoji6]
Asante doctor, kweli wewe ni tabibu! nipe tu code yako siri nitakufikia tu. Hahaa
Wakafuye go, niwe uje uchiyane obhusombokerwa bhwakisi go!
Ahsante nimeditNo. 3 ni hypoglycemia.
Point of addition kuna angina!
Nadhani chumbani kweni ndio makao makuu ya Bollywood