Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

Ni magonjwa gani yanayoua ghafla na dalili zake ni zipi?

1.sleep apnea
2.stroke ,rupture of brain aneurysm
3.hyoglycemia(kiwango cha sukari kushuka)
4.tatizo kwenye umeme wa moyo(ie tachyacradia,bradycardia,atria fibriliation)
5.damu kuganda na kuziba mishipa ya damu kwenye mapafu(pumonary embolism)
6.drug overdose before sleeping
No. 3 ni hypoglycemia.

Point of addition kuna angina!
 
Level ya roho mbaya yangu ni sawaa na uchumi wa sasa(uchumi wa kati).

Family bado natembea nayo. Hahaa
😂😂😂 basi nawezq kuihandle hyo hali.. mimi nipo uchumi wa juu kidg..SA..kama family bado iko kiunoni bas ww nakuweza tu😉
 
Asante doctor, kweli wewe ni tabibu! nipe tu code yako siri nitakufikia tu. Hahaa
[emoji23][emoji23][emoji23] basi nawezq kuihandle hyo hali.. mimi nipo uchumi wa juu kidg..SA..kama family bado iko kiunoni bas ww nakuweza tu[emoji6]
 
Back
Top Bottom