Ni maisha tu nayo yanapita, mie nimeshalala sana Sebuleni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Emaphakadeni
 
Dhaaa Bora tu kukaa bush kwakwel
Ukisubir michongo

stidy
 
MNATAKA AONDEKE MNATAKA AENDE WAPI NA MJINI ANA ANAEMJUA ARUDI KIJIJINI AMBAPO NI MISUNGWI HUKO VIJIJINI LABDA NO CONNECTION KABISA


MZEE KAA HAPO FANYA JUU CHINI UNANYUKA HARAKA UNASEPA
Unajua mkuu duniani wako watu hawajui maisha magumu Yale ya chini ya maskini haswa mtu anakuwa hana alternative na akili imestack sio kila MTU ni mpambanaji, halafu sio kila kijiji kina fursa mtu anaropoka rudi kijijini jamani kuna ile huna kitu hata mia unabangaiza vocha na vibukubuku siku hizi hata koroga zege ni connection hivyo tusihukumu kirahisi mjini kuna urahisi kutoka hata kazi tofouti na kijijini.
Ila cha msingi kukaa kwa shemeji sio kabisa bora utafute ndugu mwingine ase na sio ukae tu chora ramani uondoke fasta hata nyumbani ukifika 25 chapa lapa kapambane utaheshimika
 
Una umri gani ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo sahihi kiongozi!!
 
Hakuna ushujaa wowote mzee, tandale, Buguruni, Manzese, Magomeni, Keko, Kigogo, kinyelezi, gongo la mboto, mbezi shamba na maeneo mengine chumba cha mpaka elfu kumi kwa mwezi unapata, ukipiga mzigo kwenye site ya ujenzi jioni unaondoka na elfu 15, wale vijana unawaona wamevaa tai wanatembeza vyombo kwa siku hawakosi elfu 10 mpaka elfu 25, wale vijana unawaona wanauza vitu kwenye foleni kwa siku hawakosi elfu 20 mpaka 50, fursa ziko nyingi mkuu acha kujiita shujaa kwa kusubiri utengewe na shemeji. Wengi tumepitia huko lakini tulikataa hiyo hali na kuamua kuwa huru
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sehemu muhimu ya maisha ili siku ukipata ukumbuke njia uliyopita

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…