Halafu eti tunalalamika wachina sijui wabaguzi,sijui wazungu wanabagua ngozi nyeusi,Pumbafu kabisa.
Yaani ss hv mtu akimuoa dada yako anageuka adui kwann??
Waafrika kuna mahali tulirogana si bure,mbona angekuwa mtu baki tu wa kumuokota road watu wanaishi naye kwa kumlaza sebuleni ila akiwa mdogo wa upande wowote a.k.a shemeji basi status inabadilika???
Ushauri; Wake na waume wachukulieni wadogo zenu km ndugu zenu msiwanyanyase maishavni safari.
Wadogo mnaosaidiwa acheni kujenga ma mentality ya kichawi thaminini msaada mnaopewa ikiwa ni pamoja na kuyaelewa mazingira na nafasi za ndugu zenu haya yote yatakuwa hayapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.