Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

elimu ya juu unamaanisha elimu akhera/mbingun au!!?
 
Tuyajue makabila ya wasomi hapa TZ.
1.Wahaya.
2.Wakerewe
Tiririka na wewe

We bw.ge sana . Kwani huna kazi za kufanya? sasa mada yako inasaidia nini jamii ya watz? Acha upuvumba
 
kabila lako ndio linaongoza, kazi kutaka misifa tu

Jitambue chukuwa atua;sio misifa mkuu wakifanya vizuri wape eshima zao

Education can not make us all to be the leader but can make us all to tell the leader what they suppose to do.
 
Jitambue chukuwa atua;sio misifa mkuu wakifanya vizuri wape eshima zao

Education can not make us all to be the leader but can make us all to tell the leader what they suppose to do.

Andika tu kwa lugha ya kabila lako kwa sababu kiswahili hujui na kiingereza unaharibu. Na hapo wewe ni msomi.
 
Back
Top Bottom