Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

Baada ya uhuru wahaya, wanyakyusa na wachagga. Lakin kwa sasa ni utata watu wamepiga buk noma
 
Andika tu kwa lugha ya kabila lako kwa sababu kiswahili hujui na kiingereza unaharibu. Na hapo wewe ni msomi.

huyo mtoa mada atakuwa ni wa kizazi cha mulugo ambaye alipata au anatarajia division 5 Form 4,anashindwa kuandika kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom