jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Wanigeria ndio wahoji Obasanjo vipi ushirika na Dangote? Kam ana hisa alipata wapi hela kuwekeza? aliwaibia? Uko sahihi kwa hoja yako, ila it is not to the detriment of our side in terms of win win investimentDuniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa Nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu.INAFIKIRISHA!
Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?!
Huyo mzee ni tapeli la kinigeria 'typical'. Hata sura yake imekaa hivyo hivyo.Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!
Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Wewe inakuhusu nini?Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!
Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Nasi tuulize ukwasi alionao Bashite ni wake au jiwe?Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!
Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Mzee nzi hutua kwenye kidondaDuniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!
Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Nimekupata Sana samuraiKuna jambo tuliza kichwa utalielewa.
diplomasia ya nchi kisiasa, kiuchumi inawatu wake na hata diplomasia ya uchumi na matajiri ina watu wake..
Kuna kitu duniani kinaitwa fixing na wahusika tunawaita mafixer, sio kila mtu ni fixer ila haya mambo yana watu wake..
Dangote kama tajiri mkubwa na mwenye mali na mitaji mikubwa yenye effect kwa mataifa na watu wengi lazima kiuchumi awe na mtaalam wa diplomasia aka fixer anayeweza kwenda popote na kumuwekea mambo yake sawa ili kurahisisha uwekezaji wake...
Hili hata wewe ujifunze, siku ukipata hela na kuwa bilionea kama si tilionea basi lazima uwe na watu kama hawa karibu ili uweze kupenetrate kila mahala duniani na kufanya mambo yako...Mfano matajiri wa Bongo wangekuwa wanacross border basi JK angewasaidia sana kwenye uwekezaji sehemu mbalimbali duniani..
Rostam Aziz unajua kwanini alikuwa na urafiki wa ghafla kwa mwendazake na immediately baada ya ule urafiki EL akarudi CCM....RA ni fixer pia kwenye diplomasia za kiuchumi na siasa..japo alirudi CCM pamoja na EL kwa kasi in two ways, JPM aliwahitaji kujikinga na kiticho cha Membe lakini pia RA na EL walihitaji biashara zao ziende kwa kucompromise na JPM, at the end wamebaki washindi maana walijua kuicheza game....(mengine ni mengi yanabaki siri za chumbani)......
Kuna jambo tuliza kichwa utalielewa.

Na hayo mengine ni udaku usiokuwa na tijaKikubwa uwekezaji wenye tija kwa taifa
sasa cc hayo ya nini?!? hata angekuwa na clinton,maduro,evo molares, we dont care!!! tunachohitaji ni wawekezaji tupate ajira, uchumi ukue, na juu ya yote cement iwe nyingi bei ishuke wajameniDuniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!
Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Jibu unalo unauliza tena mkuu?Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.
Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.
Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!
Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.