Ni mali ya Dangote ama ni mali ya Obasanjo?

Wasaidiz wake wengi ni wa kiume kwa hiyo hata akifanya maamuz yasiyo na tija kwa taifa wasaidiz watamkumbusha kwa sabab hajasema kuwa hashaurik
 
Sisi hayatuhusu, tumeteseka sana na bei za cement. Bei ya cement ya dangote ilikuwa chini jamaa wakamfanyia figisu. Tunaomba aje kwa nguvu zote na bei ishuke.
 
Wanigeria ndio wahoji Obasanjo vipi ushirika na Dangote? Kam ana hisa alipata wapi hela kuwekeza? aliwaibia? Uko sahihi kwa hoja yako, ila it is not to the detriment of our side in terms of win win investiment
Wewe ndo typical Mtanzania
 
Obasanjo ni balozi wa dangote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Siri gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…