Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Mimi huwa najikuta very uncomfortable kushare mambo au shida za familia kwa mwenzangu hata kama mara nyingine anasisitiza naona kama kuna siku tukikwazana he will use that against me. Japo yeye anasisitiza kuwa tunatakiwa kusaidiana kwenye shida na raha lakini bado sijashawishika na hii kauli kwa kweli.
Kitu kingine ninachokificha kwake na kwa watu wangu wa karibu ni kipato nnachoingiza aisee yaani siwezi kusema nalipwa shilingi ngapi au kama ni biashara inaniingizia kipato kiasi gani. Mimi naona mambo mengine tubakigi nayo tu. Unakuta mtu anakiherehere cha kujua kila kila kitu hadi kuna muda nakwazika.
Wadau ni vitu gani huwezi kumshirikisha mwenza wako?