Ni mambo gani hutakiwi kumshirikisha mpenzi wako, hata iweje?

Umejibu kikubwa kabisa kitu pekee unachotakiwa kuficha ni life insurance,mfano marubani wajifa familoa zinalipwa hela nyingi sana,sasa ukioa mke mpenda pesa akijua anaweza kukuua ili kuvuta hiyo hela,so usioe mke wa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…