AnoldAngelz New Member Joined Jan 15, 2024 Posts 1 Reaction score 2 Jan 15, 2024 #1 Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 15, 2024 #2 Mimi nakushauri utafute eneo lenye mandhari nzuri na pia zingatia usafi. KaziKweliKweli/JobTrueTrue