Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Halafu sisi tunaambiwa tusiombe kwenye makabuli ya kwetu.
Kwamba mfu hajitambui na hana msaada 🤣🤣🤣🤣🤣

Kweli dini ni uongo mtupu
 
Kanisa jipya likijengwa huwa pale Altareni panawekwa vitu ambavo huwa n msingi wa kanisa sijajua kwa Catholic ila Lutheran wanachimbia.
1. Biblia
2. Historia ya kanisa Ya dunia na ya eneo husika.
3. Majina ya walioanzisha huo usharika.
Na mambo mengine ili hata siku hizi document zimepotea wataweza kuzikuta pale.
Makanisa ya zaman pale ataren hadi vito vya thaman walivizika ila kuweka Maiti iyo mpya
 
Miaka 2025 ni michache sana kwa maisha ya hapa duniani.
 
Mbona hata akina Maria Magdalena walikwenda kaburini siku ya tata baada ya mwili wa Yesu kuzikwa kwa lengo la kuupaka mwili wake mafuta na uvumba?
 
Mifupa ya hao watakatifu huwa imehifadhiwa wapi?
 
Hauna haja ya kufanya huo UPUZI JINA LA YESU LATOSHA KUTOA LAANA NA MIKOSI YOTE
 
Makanisa yote yapo hivyo. Na hata ukitaja wala siyo dhambi coz hayo yanajulikana. Mfano kanisa la mt Antony wa padua. Maana yake masalia yake yapo hapo na yapo pale altareni. Lengo kubwa ni kuwa kanisa hilo limepewa ulinzi wa mt. Husika. So usiogope na wala siyo ushirikina ni imani.


Ni nadra kuona kwasababu makanisa hayajengwi kila siku. Mfano kanisa Bikira Maria Consolata mshindo lina miaka zaidi 60. Mtoto aliyezaliwa maeneo ya mshindo hadi atakufa haji kuona kutabaruku kwa kanisa Coz hawana mpango wa kujenga jingine
 
Hii ya kuweka biblia ni nzuri maana inachakachuliwa sana
 
Umeeleza vizuri mkuu kuliko wale wenye jazba zao na msongo wa mawazo.

Nina swali dogo hapa kwahiyo ile mifupa(masalia) ya huyo Mt huwa ynafukuliwa na kutunzwa hadi pale itakakpohitajika au kila ikihitajika wanenda kufukua? Maana yake hata nyerere wakihitaji kujenga kanisa Mt julius Watachukua baadhi ya masali?

Samahani lakini.
 
Ipo Hivi Mtu Akishatangazwa Kuwa Mtakatifu Masalio Yake Yanafukuliwa Na Kwenda kuifaziwa Sehemu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…