Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Aisee kwaiyo umeni judge kwa imani yangu na yako hainiuhusu? Wakati mimi na mvaa msalaba kumbuka na wewe unautumia tasbii ambao ni msalaba pia .unaabudu jiwe jeusi manka na unamfuata mtume aliyerogwa huku quran ikiwa imeshushwa na adui wa jibr ambae ni shetan .na inapushuka wahy zinashuka kwa mfano wa saut za makengele meng (kwa iman ya maquresh wa manka saut za makengele uambatana na shetani)pole sana mdau heri yangu mm niliyonayo yana unafuu kuliko yako
Wewe ni mtu uliyechanganyikiwa kwahiyo unaropoka vitu ambavyo hujavielewa kwa kushindwa kufanya utafiti wa kina kuhusu uhakika wa Imani sahihi na misingi yake.
Ndio maana nikakushauri uendelee kuvaa misalaba kwa kuwa ungekuwa muislamu ingekuwa unawaaibisha waislamu kwamba kwenye kundi lao Kuna watu waliochanganyikiwa.
 
Uhakika wa imani sahihi na misingi yake hata walioabudu makunrini na kwenye mapango walikuwa na misingi ya imani yao hatuwez kuwajudge kama walipotea au la nakushanga wew unayehangaika na mm kuvaa misalaba huku uislam wako imani yake yenyewe ilianzia kwa mtume muhamad kuchezewa na mashetan pangoni. na wewe unaonaje ukifanya utafiti wa uislam na chimbuko lake?
 
Mimi ni mwalimu na muhadhiri wa kujitegemea wa dini ya kiislamu kwa zaidi ya miaka 20.
Kwahiyo nilishafanya utafiti wa kutosha na kwa muda mrefu hali iliyonipatia uhakika usio na shaka yoyote kwamba uislamu ndio njia iliyonyooka، kwa kiarabu tunasema.
الصراط المستقيم.
Kwahiyo ukipenda karibu katika uislamu lakini kabla ya kusilimu tuliza akili yako vizuri uwe tayari kujifunza kwani naona akili yako ni kama mtu aliyeathiriwa na madawa fulani ya kulevya , hasa bangi.
Kwahiyo kama unatumia bangi, pombe au aina nyingine yoyote ya madawa ya kulevya achana na ulevi halafu njoo ufundishwe Imani sahihi itakayo kufanya kuwa salama katika maisha ya Dunia na maisha ya bbada ya kufa.
 
Biblia inasema njia ya mpumbavu imenyooka macho mwake pake mwenyew.kumbe hata njia ya mpumbavu imenyooka sembuse uislam ? Na dini nyingine ? Wap uislam n dini ya uzima wa milele ? Alafu unajiita mwalimu .wewe ni mwalimu gani hujawai soma historia ya uislam kama ilitoka na imani ya kipagani au tuingie ndan ya quran nikuonyeshe kwa hoja kama ukristo na Yesu ndiyo njia pekee ya watu kupata uzima wa milele kwa sabab naona unaanza kunichefua .upo tayar?
 
Ndugu yangu alimkuta mchungaji na mke wake wanaroga kanisani (alikua anaenda ibada ya usiku - walokole) walivomuona wakamwambia usije kanisani hadi zipite siku 7 na usimwambie mtu yeyote haya uliyoyaona hapa, akahisi wanatania.

Kesho kutwa yake alienda kanisani (ilikua ijumaa wanakati wanaroga, jumapili akaenda ibada ya jumapili), alivotoka kanisani akawa mwehu ghafla, akawa anakimbia kimbia tu hadi akaanza kusahau watoto, akafungwa kamba na kuanza kuombewa (mme wake alikua hajui chanzo ni nini). Wamehaingaika nae kwa muda mrefu, ikabidi apelekwe kwa waganga wa kienyeji, alikuja kupata unafuu baada ya miaka miwili mbele ndiyo kusimulia yote.
Litaje na kanisa watu wawaepuke hawa matapel
 
Hii siyo hadithi wala story ni mwaka huu tu imetokea kwenye kanisa langu la siku zote.

Basi kulikuwa na usimikaji/kuzindua kanisa jipya tulilo changa ma hela kwa miaka kadhaa hadi mwaka huu likawa limekamilika na hatimae Askofu alikuja kulizindua kanisa hilo pamoja na kupewa hadhi ya kuwa parokia

Jambo lililo tuacha midomo wazi waumini wengi ni mambo kadhaa wa kadhaa (sita yataja yote) tukio la kulisimika kanisa lilianza saa3 asubuhi hadi saa10 jioni.

Moja ya matukio tuliyoona kwa macho ni mifupa ya marehemu aliye fariki siku nyingi kuletwa na kuzikwa kweye arutale(mimbari) Huyu marehemu ambaye kwa sasa tunamuita MT fulani kwa imani yetu.

Kulikuwa na chungu kama vile vya waganga wa kienyeji na vilikuwa na vitu kadhaa mle ndani pamoja na mkaa wa moto huku moshi mzito ukifuka.

Baada ya yote hayo kuisha kiongozi wetu wa dini yaani (.....) alipapaka mafuta na kuanza kupasugua na kupasafisha yeye mwenyewe. Na mengine mengi.

Hakika kwa haya yameniacha mdomo wazi na sio mimi tu nimejaribu kuuliza viongozi kadhaa wa dhehebu langu sijapewa jibu la kueleweka maana mimi niliona kama ni kinyume na ukristo.

Wakuu nahitaji kuuliza maana nilijua najua vitu vingi kwenye imani yangu kumbe bado kabisaaa ni mtoto.je hii ina ulazima gani na kwanini ifanyike hadharani na mc akitangaza hadharani kwenye vipaza sauti na watu wasio sali dhehebu letu wasikie na kujua kinacho endelea?

Je, wewe umewahi kuona kitu ambacho kilikuacha mdomo wazi na maswali mengi .
Kutabaruku Kanisa. Kwa maelezo yako kuhusu mifupa ya marehemu sina shaka ulikuwa unasimuliwa na hukuona. Ila ukweli ni kwamba siyo lazima iwe mfupa hata kipande cha nguo aliyokuwa anavaa mtu huyo ambaye kanisa husika litakuwa limepewa jina lake kwa heshima yake Mfano Kanisa la Mtakatifu Bubu Msemaovyo. Kitu ambacho hufanyika wanapo tabaruku kanisa husika ni kusafisha altar kwa mafuta ya Krisma. Halafu pale ambapo mara nyingi Padre hupabusu ndipo huwekwa masalia aidha ya kipande cha kimfupa au kipande cha cha nguo ya huyo Mtakatifu, kidogo sana sana ambacho huwekwa kwenye kibox maalumu kisicho pitisha hewa na hujengewa pale. Huko tunaita ni kutabaruku Kanisa ambalo kuanzia hapo hujulikana kuwa ni kanisa la Mtakatifu husika.
 
Mkuu Kwa watu wale kuona kama ni mifupa au kope ni ngumu watu walikuwa wengi mno.

Mc ndo alikuwa anasema hatua inayofuata Sasa tunaenda kuzika mifupa ya Mt Rita wa kashika. Yeye alikuwa anatumia neno mifupa nilikuwepo kuanzia kuandamana Hadi mwisho wa ibada sijasiuliwa hata chembe ya neno!

Kiswahili Cha kutabaruku kilinipiga chenga ni sahihi kabisa ndo ilikuwa inasemwa hivyo
 
Biblia inasema njia ya mpumbavu imenyooka macho mwake pake mwenyew.kumbe hata njia ya mpumbavu imenyooka sembuse uislam ? Na dini nyingine ? Wap uislam n dini ya uzima wa milele ? Alafu unajiita mwalimu .wewe ni mwalimu gani hujawai soma historia ya uislam kama ilitoka na imani ya kipagani au tuingie ndan ya quran nikuonyeshe kwa hoja kama ukristo na Yesu ndiyo njia pekee ya watu kupata uzima wa milele kwa sabab naona unaanza kunichefua .upo tayar?
Nimesema achana na bangi , viroba , k vanti na vilevi vingine unavyotumia!.
Akili yako ikishatulia njoo nikufundishe historia sahihi ya uislamu na dini nyingine ukipenda! .
Lakini kwa hali uliyonayo kwa Sasa sina uwezo wa kumuelimisha mlevi aliyechanganyikiwa.!
Achana na ulevi kwanza Kisha baada ya hapo njoo ujifunze.!
 
Hii siyo hadithi wala story ni mwaka huu tu imetokea kwenye kanisa langu la siku zote.

Basi kulikuwa na usimikaji/kuzindua kanisa jipya tulilo changa ma hela kwa miaka kadhaa hadi mwaka huu likawa limekamilika na hatimae Askofu alikuja kulizindua kanisa hilo pamoja na kupewa hadhi ya kuwa parokia

Jambo lililo tuacha midomo wazi waumini wengi ni mambo kadhaa wa kadhaa (sita yataja yote) tukio la kulisimika kanisa lilianza saa3 asubuhi hadi saa10 jioni.

Moja ya matukio tuliyoona kwa macho ni mifupa ya marehemu aliye fariki siku nyingi kuletwa na kuzikwa kweye arutale(mimbari) Huyu marehemu ambaye kwa sasa tunamuita MT fulani kwa imani yetu.

Kulikuwa na chungu kama vile vya waganga wa kienyeji na vilikuwa na vitu kadhaa mle ndani pamoja na mkaa wa moto huku moshi mzito ukifuka.

Baada ya yote hayo kuisha kiongozi wetu wa dini yaani (.....) alipapaka mafuta na kuanza kupasugua na kupasafisha yeye mwenyewe. Na mengine mengi.

Hakika kwa haya yameniacha mdomo wazi na sio mimi tu nimejaribu kuuliza viongozi kadhaa wa dhehebu langu sijapewa jibu la kueleweka maana mimi niliona kama ni kinyume na ukristo.

Wakuu nahitaji kuuliza maana nilijua najua vitu vingi kwenye imani yangu kumbe bado kabisaaa ni mtoto.je hii ina ulazima gani na kwanini ifanyike hadharani na mc akitangaza hadharani kwenye vipaza sauti na watu wasio sali dhehebu letu wasikie na kujua kinacho endelea?

Je, wewe umewahi kuona kitu ambacho kilikuacha mdomo wazi na maswali mengi .
Imani ni wewe mwenyewe tu haina haja ya kuangalia kilichofanyika, muamini Mungu muumba hayo mengine achana nayo maana ukianza kupekechua Kanisa lako Kwa umri ulionao ni dhahiri utamaliza makanisa yote Africa.
 
Nimesema achana na bangi , viroba , k vanti na vilevi vingine unavyotumia!.
Akili yako ikishatulia njoo nikufundishe historia sahihi ya uislamu na dini nyingine ukipenda! .
Lakini kwa hali uliyonayo kwa Sasa sina uwezo wa kumuelimisha mlevi aliyechanganyikiwa.!
Achana na ulevi kwanza Kisha baada ya hapo njoo ujifunze.!
Basi Sawa effect ya majini ya kichwani .namuona mtu anayekimbia hoja .
 
Mkuu hayo ni mambo ya kabisa katoliki, ukiona kabisa Linaitwa parokia ya mtakatifu "yuda thadei" ujue Kuna mifupa ya huyo mtakatifu altareni, huo ni upagani kama upagani mwingine eg kuombea wafu,kuabudu sanamu nk..
Kuna vingi vinafanyika kinyume na biblia,
Nasikia hata Kardinali Rugambwa alizikwa ndani ya kanisa kule Bukoba (Cathedral church)
 
Mkuu hayo ni mambo ya kabisa katoliki, ukiona kabisa Linaitwa parokia ya mtakatifu "yuda thadei" ujue Kuna mifupa ya huyo mtakatifu altareni, huo ni upagani kama upagani mwingine eg kuombea wafu,kuabudu sanamu nk..
Kuna vingi vinafanyika kinyume na biblia,
Inawezekanaje mkuu wakati unakuta parokia za mtakatifu husika ziko kila mahali dunia nzima. Mifupa yote inapatikana wapi? Mfano St Peter iko kila nchi duniani
 
Back
Top Bottom