Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 252
- 301
MBONA MAKASILIKO MKUU? Rudi kweny mada huskaHuna akili. Ok?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBONA MAKASILIKO MKUU? Rudi kweny mada huskaHuna akili. Ok?
Akitaja Anawehuka Siku Hiyo Hiyo HaaNingelitaja hilo kanisa ila basi tu, ni maeneo ya LUSHANGA - GEITA.
Kuna Mambo Padre Martin Luther AliyakataaUkweli sikuwahi kuhudhuria uzinduzi wa kanisa nilikuwa siendi sasa hili ilinikuta hukohuko nikaona si mbaya.Acha nitulie
Kujua uwepo wa huyo Mungu.Kujua ni nini?
Kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.Unajuaje?
Ndiyo. Aliyakataa kwa hoja sio kwa Mhemuko. Na waliokuwa hawamuelewi na kumpinga kipindi hicho, leo hii ndo wanaona uzito wa Hoja zake. But too late.Kuna Mambo Padre Martin Luther Aliyakataa
Haa KweliSasa kama mifupa ya huyo yuda itapelekwa kwenye makanisa yote yaliyoitwa jina lake,si itakwisha.
Nadhani kuna kitu kisichoeleweka (hakiko sawa)hapo. Ngoja wenye uelewa watunyooshee maelezo.Haa Kweli
Maana Tanzania Tu Haiwezi Kutosha, Je Duniani Kote Itakuwaje
Uko sawa Nimewahi kusoma mahali fulaniKuna Mambo Padre Martin Luther Aliyakataa
Kila kanisa mara nyingi huwa lina mtakatifu wake kwa uelewa wanguHaa Kweli
Maana Tanzania Tu Haiwezi Kutosha, Je Duniani Kote Itakuwaje
Una maanisha marehemu familia yake ilikuwepo au?Familia yake ilikua inashiriki
Aisee kwaiyo umeni judge kwa imani yangu na yako hainiuhusu? Wakati mimi na mvaa msalaba kumbuka na wewe unautumia tasbii ambao ni msalaba pia .unaabudu jiwe jeusi manka na unamfuata mtume aliyerogwa huku quran ikiwa imeshushwa na adui wa jibr ambae ni shetan .na inapushuka wahy zinashuka kwa mfano wa saut za makengele meng (kwa iman ya maquresh wa manka saut za makengele uambatana na shetani)pole sana mdau heri yangu mm niliyonayo yana unafuu kuliko yakoNa kama ungekuwa muislamu waislamu tungekuwa na hasara kuwa na mtu mwenye akili mbovu kama wewe!
Endelea huko huko kwa WAVAA MISALABA ndio panakufaa!.
Si uliambiwa mganga hajigangi ama?Mie bado nashangazwa na wachungaji kusema wanatuombea kwa Mungu tuwe matajiri, lakini wao hawamuombi Mungu wanatukamua sisi, kwanini wanapokwenda kutuombea na wao wasiombe hukohuko?
Bintiiiii.Another neck supporting an empty coconut 🥥 head.
Kazi Sana SanaKila kanisa mara nyingi huwa lina mtakatifu wake kwa uelewa wangu
mfn Mt josephina bakhita
Mt peter
Mt Theresia
Mt Yosefu nk wapo wengi sana mamia kwa mamia
Suala la kuzika waanzilishi ndani ya kanisa siyo kwa wakatoriki tu hata waislam wanafanya hivyo.Halafu utasikia wanasema waislamu ni washirikina.
Kwa asili muafrika yake ni tunguri tu, hizi imani nyingine ni maigizo.
HahaaaNi masalia
Idiot.Bintiiiii.
Hii ndio inaitwa usijitie ujuaji kwenye mambo ya watu,Ndugu yangu alimkuta mchungaji na mke wake wanaroga kanisani (alikua anaenda ibada ya usiku - walokole) walivomuona wakamwambia usije kanisani hadi zipite siku 7 na usimwambie mtu yeyote haya uliyoyaona hapa, akahisi wanatania.
Kesho kutwa yake alienda kanisani (ilikua ijumaa wanakati wanaroga, jumapili akaenda ibada ya jumapili), alivotoka kanisani akawa mwehu ghafla, akawa anakimbia kimbia tu hadi akaanza kusahau watoto, akafungwa kamba na kuanza kuombewa (mme wake alikua hajui chanzo ni nini). Wamehaingaika nae kwa muda mrefu, ikabidi apelekwe kwa waganga wa kienyeji, alikuja kupata unafuu baada ya miaka miwili mbele ndiyo kusimulia yote.