Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Nipo kwenye tamasha la hawa manabii mkoa fulani.

Kuna jamaa amekalia wheelchair huku amejifunika na blanketi.

Nabii akaanza kukemea huku akimsogelea jamaa.

"NINASEMA TEMBEA"
"SHETANI UMESHINDWA, INUKA UTEMBEE"

Yule jamaa hanyanyuki kwenye wheelchair anamuangalia Nabii.

Nabii akasogea kwa nguvu akanyanyua blanketi kwa nguvu huku anakemea kwa mwendo uleule.

Turns out jamaa ni amekatika miguu.

Nabii kashikilia blanketi hajui alifanye nini
 
Ndio ndio kubabek zake kakamatika
 
Ulichokisema ni sahihi kutabaruku kiswahili kilinichenga. Wala sijazunguka kabisa nimeenda direct huenda wewe ndo umeona nimezunguka nami naona nipo direct.

Ni mifupa sio masalia ikumbukwe kuna hadi cd zitatoka hivi karibuni( Huenda tiyari ipo)
 
Mifupa wameichimbia aritaleni au wamekuja kuionyesha artaleni?
 
Unayosema mifupa ililetwa sina hakika kama uliiona mifupa kwasababu huwa sio mifupa haswa bali ~chembe ndogo sana ya masalia ya huyo mtakatifu aliyewekwa~ kuwa msimamizi wa kanisa

Labda mimi sijaelewa sio mifupa ila ni chembe chembe ndogo za aliyekufa
 
Aisee hii ni hatari
 
Kanisa lenu ni la kipagani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…