snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Mtu kapigwa uchawi kanisani kaponea kwa mganga wa kienyejiNdugu yangu alimkuta mchungaji na mke wake wanaroga kanisani (alikua anaenda ibada ya usiku - walokole) walivomuona wakamwambia usije kanisani hadi zipite siku 7 na usimwambie mtu yeyote haya uliyoyaona hapa, akahisi wanatania.
Kesho kutwa yake alienda kanisani (ilikua ijumaa wanakati wanaroga, jumapili akaenda ibada ya jumapili), alivotoka kanisani akawa mwehu ghafla, akawa anakimbia kimbia tu hadi akaanza kusahau watoto, akafungwa kamba na kuanza kuombewa (mme wake alikua hajui chanzo ni nini). Wamehaingaika nae kwa muda mrefu, ikabidi apelekwe kwa waganga wa kienyeji, alikuja kupata unafuu baada ya miaka miwili mbele ndiyo kusimulia yote.
Makanisa haaayaaa