Kufa Kwa Baba
Member
- Sep 10, 2024
- 29
- 57
Ni Hivyo Hivyo Kwa Sasa Ni Mwenye Heri Akishakuwa Mtakatifu Masalio Yake Yanafukuliwa..Sawa vipi kuhusu nyerere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Hivyo Hivyo Kwa Sasa Ni Mwenye Heri Akishakuwa Mtakatifu Masalio Yake Yanafukuliwa..Sawa vipi kuhusu nyerere?
Nilikuwa sijui haya. ahsante sanaNi Hivyo Hivyo Kwa Sasa Ni Mwenye Heri Akishakuwa Mtakatifu Masalio Yake Yanafukuliwa..
Pamoja.Nilikuwa sijui haya. ahsante sana
Mkuu kwa dhambi nilizo nazo mimi haiwezi tokeaPamoja.
Ila Ata Wewe Unaweza Kuwa Mtakatifu Na Kaburi Lako Litafukuliwa Masalia Yako Yataifazia ikitokea Kuna Kanisa Linaendana Na Jina Lako Watatoa Kipande Na kukiweka Pale Mazabahuni..


Mungu Ni Mwema Kila Kitu Kinawekana Ata Yule Mwingine Alyesurubiwa Na Yesu Akapata Zari La kuuona Ufalme Wa Mungu Japo Alikuwa.....Mkuu kwa dhambi nilizo nazo mimi haiwezi tokea![]()