Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kuna mambo huwa tunajikuta tunayajua tu bila kufundishwa na mtu au bila kuyaona sehemu yoyote..., mfano
Kufanya mapenzi,sidhani kama kuna mtu alifundishwa hili,achana na yale maujuzi tunayokuja kuongeza kwenye mitandao n.k ila kwa mara ya kwanza ulijua tu tobo liko hapa na unapush in and out bila kufundishwa
Jambo lingine kutumia mkono wa kushoto kusafisha baada ya kufanya mambo yetu,hii nayo hakuna aliekufundisha
Jambo jingine ni kwa wanaume zaidi ile yakuruka sink moja,kama mwenzio anatumia sink la kwanza na kuna series of sinks huwezi kwenda kutumia lililopo pemben na lile analotumia lazima uruke moja na unajikuta unatumia la tatu kutoka kwake automatically, kama unatumia la pembeni yake nina habari mbaya kwako braza[emoji23]
Hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo nafikiri nature yenyewe inatufundisha,,ongeza mengine unayoyajua