Ni mambo gani uliyojikuta unayajua automatically bila ya kufundishwa?

Ukikojoa pemben ya sink la mwenzako ndo inakuwaje boss? Embu tupe hiyo habari mbaya
 
Mama angu alinifundishaga kuwa mkono wa kushoto ndo wa kusafishia baada ya kupuu[emoji23]

Mi sijawahi kufundishwa kutumia simu,siku napewa simu sikuhitaji mwalimu wa kunielekeza nibonye wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…