MaweSaba
JF-Expert Member
- May 3, 2024
- 416
- 641
- Thread starter
- #21
Wanaogopa kua ikibadilishwa kwa madudu ya Mwaka jana, wote tutawafikisha mahakamaniKwani katiba si ilishaandikwa na Warioba, nchi ikatumia mabilioni ya shilingi na wananchi wakaulizwa wakasema wanachotaka sasa katiba gani tena unaulizia mkuu