watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Hata dada zetu walioko kwenye Jeshi la Polisi wanahitaji kupendwa, kudeka, kuolewa na kuanzisha familia kama wanawake wengine.
wale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na dada zetu walio kwenye jeshi la polisi (Tanzania police force) ni mambo yapi ya kuzingatia.
wale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na dada zetu walio kwenye jeshi la polisi (Tanzania police force) ni mambo yapi ya kuzingatia.