watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Hakikisha unamkunja kama kambale hadi afike kileleni maana bila hivyo atajitekenya mwenyewe kwa rungu la polisi.wale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na polisi wa kike, ni mambo yapo ya kuzingatia ?
Monetary doctor mfuajiwale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na dada zetu walio kwenye jeshi la polisi (Tanzania police force) ni mambo yapi ya kuzingatia.
Nakupa siri ndogo mkuu, mambo uliyoumbiwa kama binadamu hayajui cheo wala nguvu uliyonayo.Mimi sijawahi date na polisi ila tegemea nyumba kugeuka kuwa uwanja wa vita
Miaka hiyo tunasoma nilikuwa na demu baadae mimi nikaenda A level yeye akaenda polisi miezi 9.Hata dada zetu walioko kwenye Jeshi la Polisi wanahitaji kupendwa, kudeka, kuolewa na kuanzisha familia kama wanawake wengine.
wale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na dada zetu walio kwenye jeshi la polisi (Tanzania police force) ni mambo yapi ya kuzingatia.
MatTizo yao yaweza fanana na y wanawake wanasheriaKwenye mapenzi hakuna muongozo mkuu ila we si unaweza kupiga kwata
Mzee za askari polisi mpaka jamhuri itoe tamko, bila hivyo hupewi labda ubake πHakikisha unamkunja kama kambale hadi afike kileleni maana bila hivyo atajitekenya mwenyewe kwa rungu la polisi.
Hahaha, kwa nini πMzee za askari polisi mpaka jamhuri itoe tamko, bila hivyo hupewi labda ubake π
Ile ni nyaraHahaha, kwa nini π
Hata kama ni nyaraπ.Ile ni nyara