Ni mambo gani ya msingi unatakiwa uyatimize kabla ya kutimiza miaka 35?

yna2,

Njia ya muongo ni fupi sana... hahahaha...

Ulisema una 35yrs, uzi unasema kabla hujafika 35yrs...

Hapo umejibu mtu ambae hujafika 35yrs... Baki na 29yrs yako hiyo hiyo...

Cc: mahondaw
 
yna2,

Njia ya muongo ni fupi sana... hahahaha...

Ulisema una 35yrs, uzi unasema kabla hujafika 35yrs...

Hapo umejibu mtu ambae hujafika 35yrs... Baki na 29yrs yako hiyo hiyo...

Cc: mahondaw
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji2960]
 
Naunga mkono hoja
 
Kulikoni hizi nyuzi za miaka 30 kama threshold, mbona zimezidi wiki hii?
 
Mimi nilifoji cheti so nina umri mpya wa bandia navimba mjini, umri halali ushavuka huko nami siutaki hata kuujua najifariji na cheti changu bado kinda.... age is just numbers [emoji1492]‍♂️[emoji1492]‍♂️[emoji1492]‍♂️
 
Mambo gani ambayo ninatakiwa kuyatimiza kabla sijafikisha miaka 35,

Ni mambo ninayotakiwa kuyatimiza kabla sijatimiza miaka 35😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…