Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchizi anataka amlaze kwenye mkeka Slay Queen.Hao walikuwa wanawake wa zamani, soma alama za nyakati otherwise jiandae na msongo wa mawazo
Naunga mkono hojaJapo Wanasema life begin at 40 mimi nakataa hayo ni maneno ya Senior Bachelors kujipa moyo.. mimi nasema life begin at 25.
Kabla ya kufika 27 nitajitahidi angalau niwe na familia hata kama life itakua imebamba vipi.
Huwezi jua mwenza ataleta baraka gani.
Kulikoni hizi nyuzi za miaka 30 kama threshold, mbona zimezidi wiki hii?Kuna mjadala unaoendelea hivi sasa katika radio kwa vijana wenye umri kuanzia miaka 30 kuhusu mambo muhimu wanayotakiwa kuyatimiza katika kipindi cha miaka 30 hadi kufika 35.
Kila mtu anazungumza yake mimi upande wangu nasema vitu vya umuhimu unatakiwa utimize ni pamoja uwe na shughuli maalumu ya kukuingizia kipato, kiwanja, nk.
Haya endelea kutaja vitu vya msingi.