Ni mambo gani yanayosababisha gari kuchelewa kuchanganya?

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,515
Reaction score
9,415
Heshima yenu wana JF.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili mara kwa mara na sijapata majibu sahihi.

Mwanzo niliponunua gari miaka minne iliyopita nilikuwa naona gari inachanganya haraka sana.

Nilikuwa natumia oil SAE 40 bila kujua nikawa nahisi gari nzito sqna na injini inavuma sana haswa asubuhi nikiwasha gari ila sasa nimebadilisha natumia 5w 30 naona gari imekuwa nyepesi kidogo na inachanganya haraka ila si kama mwazo niliponunua.

Kwa miaka yote hiyo nimekuwq nikifanya service ya injini oil na filter tu.

Pia nimewahi kubadilisha plug mara moja kwa muda wote huo.

Je ni mambo gani mengine napaswa kuyafanyia service?
Aina ya gari ni Nissan ya petrl cc 1500 gia box ni CVT.

Naomba ushauri wa service nyingine za kufanya kwa sasa.
 
Shida itakuwa ni "Filter pump" aidha mbovu au kuna uchafu kwenye filter
 
Duu kama ni filter pump basi acha na mimi nicheki kwenye gari yangu nahisi hilo tatizo la kutochanganya mapema lipo kwenye gari yangu
 
Ndiyo inayotoa kwenye Tank kwenda kwenye engine. Tatizo hilo lilishanikuta kwa gari aina ya RAV alibadilisha Filter Pump sasa hivi mambo shwari
Shukrani sana mkuu nitalizingatia hilo
 
Check oil ya gearbox kama imechoka inaweza kusababisha.pia engine oil usinunue za mtaani nenda kwenye sheli kabisa ununue kama PUMA.mi ferrari yangu ya 2018 ilileta hilo tatizo ikawa haifiki spidi 250 ikabidi niagizie oil ujerumani.sasahivi ina peak vizuri sana.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Duuh, hapo kwenye speed!.?
 
Shukrani boss....nitajaribu kubadili gear box oil nione...hii inatumia NS 2 CVT fluid...sijawahi kubadilisha tangu ninunue hii gari
 
Hahahaa..kivipi boss
Lubricant zinazokuja na gari huwa nzuri zaidi lakini usi over due lazima uibadilishe.gearbox zinakufa braza tena zinakufa kilaini.mwishowe ukiingiza rivasi inaenda mbele.ukiweka D inarudi nyuma.hapo ndo ujue gearbox inandei
 
duu...ngoja nibadilishe hii CVT fluid...Lita nne hapa Arusha nauziwa 140,000[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Duuh, hapo kwenye speed!.?
Mbona ndogo
20140531_173944.jpg
 
Check oil ya gearbox kama imechoka inaweza kusababisha.pia engine oil usinunue za mtaani nenda kwenye sheli kabisa ununue kama PUMA.mi ferrari yangu ya 2018 ilileta hilo tatizo ikawa haifiki spidi 250 ikabidi niagizie oil ujerumani.sasahivi ina peak vizuri sana.
wewe weka picha niione kwanza
 
Duu...kuna watu mmesaini mkataba na Mungu...nikiwa naendesha safari ya mbli speed yangu ni 9O mpaka 120KPH....si zaidi ya hapo
Upo kama mimi mkuu mwisho wangu ni 120 tena nikiwa na noah mwisho ni 100-90(si unajua ni majeneza yale) ila gari nyingine mwisho ni 120
 
Upo sahihi mkuu...roho haiuzwi dukani
 
Back
Top Bottom