RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkuu ulikuwa unamaanisha Fuel Filter au Fuel Pump?Shida itakuwa ni "Filter pump" aidha mbovu au kuna uchafu kwenye filter
Fuel filter inachuja mafuta kabla ya kuvutwa na fuel pump kwenda kwenye engine. Fuel pump inavuta mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye engine.
Fuel Pump ikifa gari haitembei kwasababu mafuta hayawezi kuvutwa kwenda kwenye engine.
Fuel filter ikijaa uchafu inaziba hivyo kupitisha mafuta kwa shida au kupitisha mafuta machafu. Hii ndio inasababisha gari ku-misfire au kuwa nzito.