Ni mambo gani yanayosababisha gari kuchelewa kuchanganya?

Shida itakuwa ni "Filter pump" aidha mbovu au kuna uchafu kwenye filter
Mkuu ulikuwa unamaanisha Fuel Filter au Fuel Pump?
Fuel filter inachuja mafuta kabla ya kuvutwa na fuel pump kwenda kwenye engine. Fuel pump inavuta mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye engine.

Fuel Pump ikifa gari haitembei kwasababu mafuta hayawezi kuvutwa kwenda kwenye engine.
Fuel filter ikijaa uchafu inaziba hivyo kupitisha mafuta kwa shida au kupitisha mafuta machafu. Hii ndio inasababisha gari ku-misfire au kuwa nzito.
 
inategemea na aina ya gari ila mimi navyo jua magari mengine yana kuwa na maringoo na nyodo sana siku likiamua kukununia ndobasi tena. ila ukitaka kufaidi kuwa na magari mawili
 

eti Ferrari ya 2018 hata showroom haijatoka watu mmeshamwaga oil huku Tanzania
Mleta mada tatizo la kuchelewa kuchanganya ni fuel pump labda na plug
 
Fuel pump
 
shukrani itabidi nifanye ukaguzi wa haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

eti Ferrari ya 2018 hata showroom haijatoka watu mmeshamwaga oil huku Tanzania
Mleta mada tatizo la kuchelewa kuchanganya ni fuel pump labda na plug
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante mkuu kwa ushauri inabidi nifanye service kwa upana zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo itakuwa ni gearbox oil(transmission fluid) imepoteza viscosity yake kabisa. Utaunguza gearbox ukiendelea kuendesha. Hizo oil ni bei chafu lkn ndo utamu wa kuwa na chepesi. Chana wallet mwanangu.
halafu urudi hapa na mrejesho ili tuendelee kujuzana.
 
ok mkuu... comments nyingi zimelenga gear box oil...ngoja nianzie hapo then nitaleta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…