Ni mambo madogo madogo ila yanakera sana

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Au unazidisha chumvi, yaani unaweza tamani uloweke chakula kwenye maji ili u 'dilute chumvi.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€unakuwa unauangalia msosi unatamani kutukana
 
ipoje hiyo shombo[emoji23]

Sent using Gun Trigger
Asubuhi Mswaki umepamba moto mdomoni kwa kuweka dawa ya meno ya kutosha then paaap anapita mzee na kusalimia "Kijana Habari za asubuhi umeamkaje".. Inabidi uteme umsalimie mzee alafu uanze upya zoez.. [emoji3][emoji3][emoji23].. Dammm I hate that sh**t..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Hii kitu inakera balaa, mara kadhaa imenikuta.
Nakumbuka kuna siku mpangaji mwenzangu wa kike mkali mkali alinisalimia, ikabidi nimeze povu la dawa ya meno ili nijibu salamu.
So disgusting ila sikuwa na namna. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Inakera sana

Jana yake umechelewa kulala na siku ya kuamkia jumamosi umeamua utalala hadi saa 4 asubuhi ikibidi hadi saa 6 mchana

Kwenye saa 12 asubuhi unagongewa mlango kwa pupa, unaamua kupuuzia lakini mgongaji anaendelea kugonga mlango kwa nguvu kama anaubomoa

Ile unashuka kitandani, kufika sebuleni unajikwaa kwenye kona kochi [emoji51], unapata maumivu makali sana, unajikongoja hivyo hivyo kwenda kusikilizia mgeni

Kufungua mlango, mgeni anasema amepotea nyumba, je hapo ni kwa bwana Rweyemamu, unamwambia sio hapo, unamuelekeza unaingia ndani ili urudi chumbani kulala,

Kufika karibu ya kochi unalikwepa ili usijigonge tena, unapiga buti beseni lenye maji na vyombo na mabaki ya samaki, sebule nzima inanuka shombo ya samaki

Unaamua kuchukua tambara la dekio ili ujifute maji kisha urudi kulala, unakumbuka jana Jirani yako ambaye ni bachelor aliazima tambara ili adekie kwake

Unarudi kulala hivyo hivyo na mashombo ya samaki

INAKERA SANA, SIO KIDOGO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Mzeebaba pole sana aisee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€
 
Mkuu hii ya kwako iingie kwenye jalada kabisa ya kumbukumbu. Nimecheka hadi chozi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Haha hiyo inakera zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natubu kabisa siangalie tena, na siku hiyo hiyo mzigo mpya unavuja basi kila nikifungua jamiiforums nakuta masela wanajadili.Wakuu sio poa haya mambo ilikuwa wapi siku zote
 
. Hiyo namba 4 na 5 zinanihusu kabisa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ