Ni mambo yapi ya kuzingatia katika uanzishwaji wa kiwanda?

1.capital
2.fanya feasibility study ya project husika.
2.fanya research kuhusu market ya product kama Kuna solo.
3.fanya research kuhusu raw materials zinapatikana kwa uhakika na utazisafirisha vip.
,4.miundombinu iwepo ili uweze kusafirisha bidhaa kwa urahisi.
5.lazima uwe na uwezo wa kupata wataalamu.
7.utilities ziwe zinapatikana kwa urahisi mfano kuwe na umeme wa uhakika,maji au makaa ya mawe.
,8.
 
Tuanzie kwenye upatikanaji wa malighafi kama sababu ya kwanza, ya pili tuangalie nguvu kazi, alafu hizo zingine zifuate.
Ok wazo lilikuwa kiwanda Cha madawa,

Akaainisha aina za dawa atakazo zalisha,

Mfano paracetamol, Ina hitaji ingredients kadhaa ili iitwe paracetamol,

Akaonyesha upatikanaji wake,

Vifungashio ataipata wapi ni Tz au ni ataagiza nje,

Kwenye issue ya packaging na brand ya hiyo paracetamol yenyewe!

Sasa kwa wewe sijajua ni kiwanda Cha nn ?

Maake ukiweza kujua kama ni kukoboa pengine unga wa ugali.....

Hapo unajua unahitaji mahindi kama raw material,

Jee unayapata wapi kwa urahisi ? Pengine ni direct shambanii au kwenye maghala

Utalinganisha cost ya mkulima na aliyetunza kwenye ghala ipi ghali ?

ndio sasa uweze kununua na kuanza processing
 
Mpaka leo nashindwa kuelewa nini sababu.
Ndio maana uwekezaji wa tanzania sio wa kuweka miguu yote.
Kwa mtazamo wangu, kwa uwekezaji mdogo wa kutumia mazao ya shambani kama malighafi hakuna shida sana, ila kwa uwekezaji mkubwa kunaweza kuwa na changamoto.
 
1.capital
2.fanya feasibility study ya project husika.
2.fanya research kuhusu market ya product kama Kuna solo.
3.fanya research kuhusu raw materials zinapatikana kwa uhakika na utazisafirisha vip.
,4.miundombinu iwepo ili uweze kusafirisha bidhaa kwa urahisi.
5.lazima uwe na uwezo wa kupata wataalamu.
7.utilities ziwe zinapatikana kwa urahisi mfano kuwe na umeme wa uhakika,maji au makaa ya mawe.
,8.
Mfano ukiwa na milioni 15, unaweza ukaanzisha kiwanda gani kidogo?
 
Ok wazo lilikuwa kiwanda Cha madawa,

Akaainisha aina za dawa atakazo zalisha,

Mfano paracetamol, Ina hitaji ingredients kadhaa ili iitwe paracetamol,

Akaonyesha upatikanaji wake,

Vifungashio ataipata wapi ni Tz au ni ataagiza nje,

Kwenye issue ya packaging na brand ya hiyo paracetamol yenyewe!

Sasa kwa wewe sijajua ni kiwanda Cha nn ?

Maake ukiweza kujua kama ni kukoboa pengine unga wa ugali.....

Hapo unajua unahitaji mahindi kama raw material,

Jee unayapata wapi kwa urahisi ? Pengine ni direct shambanii au kwenye maghala

Utalinganisha cost ya mkulima na aliyetunza kwenye ghala ipi ghali ?

ndio sasa uweze kununua na kuanza processing
Uwekezaji kwenye madawa ya binadamu ni changamoto, kwa sababu unakuwa unadili na uhai wa mtu; angeweza kufanikiwa kama angepitia kwenye yale makampuni makubwa ambayo tayari wanazalisha hizo dawa.
 
Kwa mtaji ulikuwa kipengele maake kiwanja kilikuwepo tyr heka kumi na moja, lkn kipo bunju...... Na ni eneo lenye makazi ya watu,

Mtaji ulikuwa unahitajika kama billion 4, yeye akiwa na one bio +, ikawa haitoshi....... Akahamia kufanya tuu importation.....

Nadhani Bora importation maake ukitanua wigo wa biashara vzr unakuwa supplier moja mzurii biashara ikikua
 
Inawezekana akawa bado ana ndoto ya kuwa mzalishaji, ila ni muhimu zaidi kuangalia kitu unachoenda kuzalisha; mfano kama unaenda kuzalisha kitu kinachoenda kutumia kemikali katika kuchakata kwake, lazima utagaramika kuwa na vibali vingi ili kuhakikisha usalama kwa mzalishaji, jamii inayokuzunguka, na walaji pia.

Mfano, kuna nchi moja ilikuwa inapokea karanga zilizosagwa kutoka nchi za jirani kibiashara; katika kuzifanyia utafiti ikaonekana karanga zile zina vimelea vya saratani.

Hii inatafsiri, mfanya biashara yeye anaweza kuzalisha ili auze apate faida; lakini ukija upande wa pili kuangalia ule mchanganyo unagundua kuna marekebisho yalitakiwa yafanyike ili walaji wawe salama. kwa mazingira haya, urasimu ni vigumu kuuzuia.​
 
Ninapozungumza naye ananiambia ana ndoto hizo Ila kwa baadae kwa sababu anahitaji sehemu kubwa ya mtaji utoke kwake na kama ni mkopo basi uwe kiasi kisichoumiza!!

Maake alikuwa na kiwanda kingine Cha dawa Ila uncle wenu jiwe akakichukua karibu nusu hisa zake zikaenda serikalini kwa hivyo tyr Hana mamlaka ya kuwa owner Tena!

Anaelewa vzr ishu kubwa anayo face ni mpunga ukizingatia mpunga mwingine ulikamatwa ko ni changamoto!!

So far vipi kwako umefanikisha mpaka wapi Kuna siku niliona unatafuta wafanyakazi nadhani ?
 
Mambo yakuzingatia yapo kwenye mafungu ila muhimu zaidi ni kuhusisha wataalamu mahiri kwenye sekta wafuatao ili uwe salama zaidi

1. Mipango Mji na Afisa ardhi
2. Mtaalamu wa mahesabu ya fedha
3. Mtaalamu wa sheria
4. Mfanyabiashara mbobezi kwenye sekta husika.

Hawa watakupa zaidi ya 80% ya mambo ya kuzingatia kwenue mchakato wako huo.
 
Ninapozungumza naye ananiambia ana ndoto hizo Ila kwa baadae kwa sababu anahitaji sehemu kubwa ya mtaji utoke kwake na kama ni mkopo basi uwe kiasi kisichoumiza!!

Maake alikuwa na kiwanda kingine Cha dawa Ila uncle wenu jiwe akakichukua karibu nusu hisa zake zikaenda serikalini kwa hivyo tyr Hana mamlaka ya kuwa owner Tena!

Anaelewa vzr ishu kubwa anayo face ni mpunga ukizingatia mpunga mwingine ulikamatwa ko ni changamoto!!

So far vipi kwako umefanikisha mpaka wapi Kuna siku niliona unatafuta wafanyakazi nadhani ?
Field zote za kitaalamu utaitaji kuwa na wataalamu husika, na hao wataalamu wanahitaji walipwe vizuri, wao hawaangalii kama ndio unaanza au laa; changamoto niliyokutana nao ni kutaka kulipwa vizuri kabla ya faida kupatikana.
'Alternative' iliyopo, ni kuhama 'field' na kuangalia ni 'field' ipi itahitaji nguvu kazi itakayotumia nguvu nyingi akili kidogo.​
 
Unakumbuka kule shuleni waliovyokuwa wakitufundisha ''Factors affecting the location of industries''?
Majibu ndio yako hapo, kama tutaamua kufanya kwa vitendo; si lazima uanze na kikubwa, kama unaweza kuwa na mkopo wa gari kwa nini huku ushindwe?​
😊☺️ Umenikumbusha kitu Kuna miaka Fulani nilipitiaga misoto sasa kichwa ikaanza kuzunguka na kugundua zile point tulizo jibiaga MITIANI

*Lack of capital. Hapa ukiwa na wazo au uki itaji mtaji wa kuanzisha biashara/ kampuni

*Low level of technology

*Poor marketing

*Lack of government support

*Poor transport and communication

*Poor working environment

* Unreliable energy supplies ie. Electricity ( hapa nilikua kinyozi alafu umeme ukawa una mgao)😊

Hizi point zinakujaga ku be applied kwenye Maisha.
 
Field zote za kitaalamu utaitaji kuwa na wataalamu husika, na hao wataalamu wanahitaji walipwe vizuri, wao hawaangalii kama ndio unaanza au laa; changamoto niliyokutana nao ni kutaka kulipwa vizuri kabla ya faida kupatikana.
'Alternative' iliyopo, ni kuhama 'field' na kuangalia ni 'field' ipi itahitaji nguvu kazi itakayotumia nguvu nyingi akili kidogo.​
Kuna kampuni nafanya nao kazi Kuna miaka mitatu iliyo pita walifungua kiwanda Cha kutengeneza ROLLER ZA PLASTIK Ie. Mifuko ya nylon, urine & stool container e.t.c

Materia mengi wananunuaga haya makopo ya plastic then wanafanyia recycling..

Kwa mtazamo wangu COMPLIANCE ya kiwanda ni kubwa mno yaan Kuna vibali vingi Sana mpaka WATU WA MAZINGIRA Ie. Nemc
Bado TRA,OSHA,LESENI,WCF,NSSF
Bado jamaa huwa wanalalamika vifaa vikiungua ni gharama Sanaa so kwa mtu maskini asiye na sustainable finance unaweza pata stroke

Tutaendelea kupeana madini.
 
Field zote za kitaalamu utaitaji kuwa na wataalamu husika, na hao wataalamu wanahitaji walipwe vizuri, wao hawaangalii kama ndio unaanza au laa; changamoto niliyokutana nao ni kutaka kulipwa vizuri kabla ya faida kupatikana.
'Alternative' iliyopo, ni kuhama 'field' na kuangalia ni 'field' ipi itahitaji nguvu kazi itakayotumia nguvu nyingi akili kidogo.​
Ni sawa kabisa, nadhani iko vzr
 
Back
Top Bottom