Ok wazo lilikuwa kiwanda Cha madawa,Tuanzie kwenye upatikanaji wa malighafi kama sababu ya kwanza, ya pili tuangalie nguvu kazi, alafu hizo zingine zifuate.
Kwa mtazamo wangu, kwa uwekezaji mdogo wa kutumia mazao ya shambani kama malighafi hakuna shida sana, ila kwa uwekezaji mkubwa kunaweza kuwa na changamoto.Mpaka leo nashindwa kuelewa nini sababu.
Ndio maana uwekezaji wa tanzania sio wa kuweka miguu yote.
Mfano ukiwa na milioni 15, unaweza ukaanzisha kiwanda gani kidogo?1.capital
2.fanya feasibility study ya project husika.
2.fanya research kuhusu market ya product kama Kuna solo.
3.fanya research kuhusu raw materials zinapatikana kwa uhakika na utazisafirisha vip.
,4.miundombinu iwepo ili uweze kusafirisha bidhaa kwa urahisi.
5.lazima uwe na uwezo wa kupata wataalamu.
7.utilities ziwe zinapatikana kwa urahisi mfano kuwe na umeme wa uhakika,maji au makaa ya mawe.
,8.
Uwekezaji kwenye madawa ya binadamu ni changamoto, kwa sababu unakuwa unadili na uhai wa mtu; angeweza kufanikiwa kama angepitia kwenye yale makampuni makubwa ambayo tayari wanazalisha hizo dawa.Ok wazo lilikuwa kiwanda Cha madawa,
Akaainisha aina za dawa atakazo zalisha,
Mfano paracetamol, Ina hitaji ingredients kadhaa ili iitwe paracetamol,
Akaonyesha upatikanaji wake,
Vifungashio ataipata wapi ni Tz au ni ataagiza nje,
Kwenye issue ya packaging na brand ya hiyo paracetamol yenyewe!
Sasa kwa wewe sijajua ni kiwanda Cha nn ?
Maake ukiweza kujua kama ni kukoboa pengine unga wa ugali.....
Hapo unajua unahitaji mahindi kama raw material,
Jee unayapata wapi kwa urahisi ? Pengine ni direct shambanii au kwenye maghala
Utalinganisha cost ya mkulima na aliyetunza kwenye ghala ipi ghali ?
ndio sasa uweze kununua na kuanza processing
Kwa mtaji ulikuwa kipengele maake kiwanja kilikuwepo tyr heka kumi na moja, lkn kipo bunju...... Na ni eneo lenye makazi ya watu,Uwekezaji kwenye madawa ya binadamu ni changamoto, kwa sababu unakuwa unadili na uhai wa mtu; angeweza kufanikiwa kama angepitia kwenye yale makampuni makubwa ambayo tayari wanazalisha hizo dawa.
Kwa mtaji ulikuwa kipengele maake kiwanja kilikuwepo tyr heka kumi na moja, lkn kipo bunju...... Na ni eneo lenye makazi ya watu,
Mtaji ulikuwa unahitajika kama billion 4, yeye akiwa na one bio +, ikawa haitoshi....... Akahamia kufanya tuu importation.....
Nadhani Bora importation maake ukitanua wigo wa biashara vzr unakuwa supplier moja mzurii biashara ikikua
Ninapozungumza naye ananiambia ana ndoto hizo Ila kwa baadae kwa sababu anahitaji sehemu kubwa ya mtaji utoke kwake na kama ni mkopo basi uwe kiasi kisichoumiza!!Inawezekana akawa bado ana ndoto ya kuwa mzalishaji, ila ni muhimu zaidi kuangalia kitu unachoenda kuzalisha; mfano kama unaenda kuzalisha kitu kinachoenda kutumia kemikali katika kuchakata kwake, lazima utagaramika kuwa na vibali vingi ili kuhakikisha usalama kwa mzalishaji, jamii inayokuzunguka, na walaji pia.
Mfano, kuna nchi moja ilikuwa inapokea karanga zilizosagwa kutoka nchi za jirani kibiashara; katika kuzifanyia utafiti ikaonekana karanga zile zina vimelea vya saratani.
Hii inatafsiri, mfanya biashara yeye anaweza kuzalisha ili auze apate faida; lakini ukija upande wa pili kuangalia ule mchanganyo unagundua kuna marekebisho yalitakiwa yafanyike ili walaji wawe salama. kwa mazingira haya, urasimu ni vigumu kuuzuia.
Ninapozungumza naye ananiambia ana ndoto hizo Ila kwa baadae kwa sababu anahitaji sehemu kubwa ya mtaji utoke kwake na kama ni mkopo basi uwe kiasi kisichoumiza!!
Maake alikuwa na kiwanda kingine Cha dawa Ila uncle wenu jiwe akakichukua karibu nusu hisa zake zikaenda serikalini kwa hivyo tyr Hana mamlaka ya kuwa owner Tena!
Anaelewa vzr ishu kubwa anayo face ni mpunga ukizingatia mpunga mwingine ulikamatwa ko ni changamoto!!
So far vipi kwako umefanikisha mpaka wapi Kuna siku niliona unatafuta wafanyakazi nadhani ?
😊☺️ Umenikumbusha kitu Kuna miaka Fulani nilipitiaga misoto sasa kichwa ikaanza kuzunguka na kugundua zile point tulizo jibiaga MITIANIUnakumbuka kule shuleni waliovyokuwa wakitufundisha ''Factors affecting the location of industries''?
Majibu ndio yako hapo, kama tutaamua kufanya kwa vitendo; si lazima uanze na kikubwa, kama unaweza kuwa na mkopo wa gari kwa nini huku ushindwe?
Kuna kampuni nafanya nao kazi Kuna miaka mitatu iliyo pita walifungua kiwanda Cha kutengeneza ROLLER ZA PLASTIK Ie. Mifuko ya nylon, urine & stool container e.t.cField zote za kitaalamu utaitaji kuwa na wataalamu husika, na hao wataalamu wanahitaji walipwe vizuri, wao hawaangalii kama ndio unaanza au laa; changamoto niliyokutana nao ni kutaka kulipwa vizuri kabla ya faida kupatikana.
'Alternative' iliyopo, ni kuhama 'field' na kuangalia ni 'field' ipi itahitaji nguvu kazi itakayotumia nguvu nyingi akili kidogo.
Ni sawa kabisa, nadhani iko vzrField zote za kitaalamu utaitaji kuwa na wataalamu husika, na hao wataalamu wanahitaji walipwe vizuri, wao hawaangalii kama ndio unaanza au laa; changamoto niliyokutana nao ni kutaka kulipwa vizuri kabla ya faida kupatikana.
'Alternative' iliyopo, ni kuhama 'field' na kuangalia ni 'field' ipi itahitaji nguvu kazi itakayotumia nguvu nyingi akili kidogo.
Upo powaa ndugu yanguNi sawa kabisa, nadhani iko vzr
Niko fresh..... Mzee wangu!Upo powaa ndugu yangu
Nipo powaa.. tuendelee kupeana madini...mkuu.Niko fresh..... Mzee wangu!
Harakati zinaendaj hapo?
Naaam nasubiri bandiko lako chifu!Nipo powaa.. tuendelee kupeana madini...mkuu.
PowaaNaaam nasubiri bandiko lako chifu!