Ni maneno gani matamu unaweza kumwambia mpenzi wako yakamfanya asisimuke na kukupenda?

Ni maneno gani matamu unaweza kumwambia mpenzi wako yakamfanya asisimuke na kukupenda?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi.

Kama unayo hebu tupia maneno matamu ya kumsisimuaa mpenzi wako kiasi kwamba akasisimka na kukupenda hatari.

images

 
Kikubwa kwenye hela anayokupa unaenda kuifanyia nini ?
Tujue itapendeza zaidi.
Kuna mmoja huku kawa specific mpenz wake anamuhudumia hela ya pombe.. penz linakua tamu kinoma.
Haha mkuu sio kuhudumiwa hii inatokea ka babe kanajua unakula chombo siku moja kana amua kusema kua kana nunua chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom