Kumbe mlevi[emoji16]Mpnz wangu pale ananiambia
"Babe Leo nakununulia bia mpka ulewe make ukilewa ndo unakua romantic"
Aisee hii sentence hua inapasua moyo wangu
*Kama huli bia shauri yako maisha Ni kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mlevi[emoji16]Mpnz wangu pale ananiambia
"Babe Leo nakununulia bia mpka ulewe make ukilewa ndo unakua romantic"
Aisee hii sentence hua inapasua moyo wangu
*Kama huli bia shauri yako maisha Ni kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana ndo ivo mapenzi yananunuliwa siku hizi Yan Ni hela tu watu wengi ndio kitu pekee wanachojuaHivi Africa mapenzi ni bidhaa?
Ushasema anaumwaTwende kwenye uhalisia..mfano labda anaumwa
Wewe mwambie bebe usijali utapona tu, Goodnight, i miss you
Halafu mi nimwambie Nakutumia 900k kwa ajili ya Dawa,matibabu, chakula na kinywaji fasta
Wewe unadhani atafurahia ipi
Sasa we hujiongezi tu hapoUshasema anaumwa
Pesa ina matumizi mengi mkuu! I don't drink so itakua inaenda kwenye matumizi mengine ya kawaida tu ila lazima na yeye nimnunulie kizawadi kidogo hapo hata kachocolate tuu😉Kikubwa kwenye hela anayokupa unaenda kuifanyia nini ?
Tujue itapendeza zaidi.
Kuna mmoja huku kawa specific mpenz wake anamuhudumia hela ya pombe.. penz linakua tamu kinoma.
SaaawaSasa we hujiongezi tu hapo
Hata kama haumwi, Maneno ya pesa ndio yatamsisimua tusidanganyane
MAPENZI ULAYA, AFRICA NI BIASHARA
Wow huu muamala from your babe mkuu?😋😋 Mpesa yangu haijawahi kupokea muamala mkubwa hivi😀8AHN4356KLM Confirmed:You have received a payment of 400,000 from 236365 -TIGO PESA TANZANIA on 29/1/21 at 23:58.New M-pesa balance is Tsh 402,000.00
We si ulimpotezea mwamba ExtrovertWow huu muamala from your babe mkuu?[emoji39][emoji39] Mpesa yangu haijawahi kupokea muamala mkubwa hivi[emoji3]
Aaah yeye ndiye aliniacha mkuu! 😀We si ulimpotezea mwamba Extrovert
Shauri yako
8AO34OTCSIN Imethibitishwa Tsh2,000,000.00 imetumwa kwa 255656326865 - Hilda Mwakibeta Tarehe 24/1/21 saa 5:12 PM kwa ada ya Tsh 6500.00. Salio lako la M-Pesa ni Tsh 2,870,312.00Aaah yeye ndiye aliniacha mkuu! 😀
Angalia Mpesa yako kisha uje nilipo haraka sana. Pale pale ambapo huwa napenda kuspend jumamosi zangu mamii!Aaah yeye ndiye aliniacha mkuu! 😀
Haumwi na hana shida ya hela, tatizo mnadate mademu maskini na wa uswahili, vijana wa miaka hii mna shida sanaTwende kwenye uhalisia..mfano labda anaumwa
Wewe mwambie bebe usijali utapona tu, Goodnight, i miss you
Halafu mi nimwambie Nakutumia 900k kwa ajili ya Dawa,matibabu, chakula na kinywaji fasta
Wewe unadhani atafurahia ipi
Kiongo umeedit hii mfyuu😀😀 utume hiyo pesa wewe huyo8AO34OTCSIN Imethibitishwa Tsh2,000,000.00 imetumwa kwa 255656326865 - Hilda Mwakibeta Tarehe 24/1/21 saa 5:12 PM kwa ada ya Tsh 6500.00. Salio lako la M-Pesa ni Tsh 2,870,312.00
Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi
Kama unayo hebu tupia maneno matamu ya kumsisimuaa mpz wako kiasi kwamba akasisimka na kukupenda hatari
Naelewa 😁Haha mkuu sio kuhudumiwa hii inatokea ka babe kanajua unakula chombo siku moja kana amua kusema kua kana nunua chombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenkumbusha kitu dahDah shemej yenu ni kiboko, yeye akitaka kuniambia nakupenda basi lazima atasema nakupenda ...jina...then atamalizia na kuniuliza umesikia?
Sasa hyo umesikia ndo inanisisimuaga mimi ukiacha iyo nakupenda [emoji23][emoji23]
Najikutaga nakuwa na upendo wa ajabu sana kwake[emoji7]View attachment 1689775