Ni maneno gani yaliyo ibuka miaka hii unayoyachukia?

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672
Kipindi cha miaka ya 2010-2014 kuna maneno mengi yameibuka je ni neno gani lililo kero kwako kulisikia?.Kwa upande wangu ni hili neno michepuko.
 
Staili ya kutamka neno na kumaliza na kiambishi" je" kwa mfano, Namchukiaje, au nampendaje! sipendi kabisa kusikia neno hili
 
Back
Top Bottom