Ni maneno gani yaliyo ibuka miaka hii unayoyachukia?

Ni maneno gani yaliyo ibuka miaka hii unayoyachukia?

Staili ya kutamka neno na kumaliza na kiambishi" je" kwa mfano, Namchukiaje, au nampendaje! sipendi kabisa kusikia neno hili

nachukiaje wanaoharibu lugha yetu,,,,,!!
 
Kuna msg siku hizi hasa kwa wadada,wakimaliza mwishoni mwa msg hizo humaliza kwa kusema neno 'Lol..sijui wanamaanisha nn
 
Back
Top Bottom