hahhahaha mbona neno zuri tuu hilo wanguKuna hili la juzu tuu hata mwezi halina...."Kantangaze"........Silipendi..
'Kaogeeeeee'
u must be gamba
Chezeiya-- huu msemo siupendi
Kipindi cha miaka ya 2010-2014 kuna maneno mengi yameibuka je ni neno gani lililo kero kwako kulisikia?.Kwa upande wangu ni hili neno michepuko.