Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali Au kutaka kujitenga Kwa baadhi ya maeneo!!
FD787E21-E451-4E78-B817-A2D72BCABCA9.jpeg

Chanzo cha kwanza kinachoweza kusababisha Urusi kutengana vipande ni Putin kufa akiwa madarakani kutakuwa na kivumbi kikali mno kutokana na kwamba Russia Rais ndo kila kitu na hakuna succession plans !

Hata nguvu iliyo nayo TANZANIA kwenye succession plan ni thabiti zaidi ya Urusi na nchi nyingi za kikomunist

Suala la Pili Putin akidhoofika afya kama Muda huu anaumwa Parkinson’
Kuna wale wapinzani wanaotaka maeneo kadhaa wayaongoze! Hii itakuwa njia rahis ya Magharibi kuwaingilia kama ilivyotengwa Korea Au Ujerumani!

Njia ya Tatu ni kuibuka mtu ndani ya FSB akahasi na kutenga nchi Kwa matamanio yake !!!

Pamoja na kwamba wanatubagua weusi ila wao Kwa wao wanabaguana kuna maeneo baadhi yanapendelewa sana kuliko mengine jambo ambalo kila anayejaribu kuhoji anapewa chai polonium yanii
Kwa kitaalamu inaitwa kuna makundi yanajiona hayana nafasi Kabisa ndani ya Urusi ni makini, we call it
the separatist tendencies of minority ethnic groups in Russia .the transformation of National republics into full-fledged States.

Hawana common idea ya Taifa kila eneo lina mawazo yake juu ya kuendesha eneo lake ….

  • the large difference between the income levels of different social strata
  • the large economic gap between different regions of Russia
  • the complexity of communications between different regions of the country because of infrastructure underdevelopment
  • the breakdown of generations
  • the strengthening of existing schisms in a religious, cultural and national context
  • the strengthening of the power of local regional leaders
Haya Kwa kifupi yataiangusha Urusi iliyo moja.

Maandiko ukaa hata Kama si Mwaka huu itakuwa huko 2100 hatuko dunian

Britanicca 25/04/2022
 
Heading ni ipo siku Urusi ita gawanyika siyo HAWANYIKA
 
Urusi imetambua kuna wakora watataka vya bure kutoka Urusi na Urusi kwa siku za baadaye unazozisema itakuwa tayari kupambana na chochote kinachohatarisha usalama wake. Kuigawanya Urusi itahitajika vita na pengine vita vyepesi ni sasa
 
Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali Au kutaka kujitenga Kwa baadhi ya maeneo!!
View attachment 2200160

Chanzo cha kwanza kinachoweza kusababisha Urusi kutengana vipande ni Putin kufa akiwa madarakani kutakuwa na kivumbi kikali mno kutokana na kwamba Russia Rais ndo kila kitu na hakuna succession plans !

Hata nguvu iliyo nayo TANZANIA kwenye succession plan ni thabiti zaidi ya Urusi na nchi nyingi za kikomunist

Suala la Pili Putin akidhoofika afya kama Muda huu anaumwa Parkinson’
Kuna wale wapinzani wanaotaka maeneo kadhaa wayaongoze! Hii itakuwa njia rahis ya Magharibi kuwaingilia kama ilivyotengwa Korea Au Ujerumani!

Njia ya Tatu ni kuibuka mtu ndani ya FSB akahasi na kutenga nchi Kwa matamanio yake !!!

Pamoja na kwamba wanatubagua weusi ila wao Kwa wao wanabaguana kuna maeneo baadhi yanapendelewa sana kuliko mengine jambo ambalo kila anayejaribu kuhoji anapewa chai polonium yanii
Kwa kitaalamu inaitwa kuna makundi yanajiona hayana nafasi Kabisa ndani ya Urusi ni makini, we call it
the separatist tendencies of minority ethnic groups in Russia .the transformation of National republics into full-fledged States.

Hawana common idea ya Taifa kila eneo lina mawazo yake juu ya kuendesha eneo lake ….

  • the large difference between the income levels of different social strata
  • the large economic gap between different regions of Russia
  • the complexity of communications between different regions of the country because of infrastructure underdevelopment
  • the breakdown of generations
  • the strengthening of existing schisms in a religious, cultural and national context
  • the strengthening of the power of local regional leaders
Haya Kwa kifupi yataiangusha Urusi iliyo moja.

Maandiko ukaa hata Kama si Mwaka huu itakuwa huko 2100 hatuko dunian

Britanicca 25/04/2022
Naona team USA mmeanza kuchanganyikiwa Sasa.Urusi imejengwa Enzi na Enzi yaani ni Rahisi Marekani kugawanyika kuliko Russia.yaani MTU yoyote anayetaka kuidhuru Russia atapigwa hata na Nuclear.kwani zile nuclear zimetengenezwa kwaajili ya Nani?nyie Team mashoga mmechanganyikiwa aisee Kwa kuleta topics za ovyoovyo.
 
Hata US au Tanzania zinaweza gawanyika, kwahiyo ramli yako isiwe limited
 
Ni ngumu sana kuigawanya Urusi labda kajimbo kama Chechinia ndiko kwenye shida huko kwingine hao wanaishi kawaida sana hafu Urusi ni nchi ambayo kihistoria Iko tulivu sana wenye vurugu ni hao watu wa Saint Petersburg akina Putin na wenzake ndio wajanja
 
Naona team USA mmeanza kuchanganyikiwa Sasa.Urusi imejengwa Enzi na Enzi yaani ni Rahisi Marekani kugawanyika kuliko Russia.yaani MTU yoyote anayetaka kuidhuru Russia atapigwa hata na Nuclear.kwani zile nuclear zimetengenezwa kwaajili ya Nani?nyie Team mashoga mmechanganyikiwa aisee Kwa kuleta topics za ovyoovyo.
Ahahahha hii timu ni majanga sana viva Putin
 
Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali Au kutaka kujitenga Kwa baadhi ya maeneo!!
View attachment 2200160

Chanzo cha kwanza kinachoweza kusababisha Urusi kutengana vipande ni Putin kufa akiwa madarakani kutakuwa na kivumbi kikali mno kutokana na kwamba Russia Rais ndo kila kitu na hakuna succession plans !

Hata nguvu iliyo nayo TANZANIA kwenye succession plan ni thabiti zaidi ya Urusi na nchi nyingi za kikomunist

Suala la Pili Putin akidhoofika afya kama Muda huu anaumwa Parkinson’
Kuna wale wapinzani wanaotaka maeneo kadhaa wayaongoze! Hii itakuwa njia rahis ya Magharibi kuwaingilia kama ilivyotengwa Korea Au Ujerumani!

Njia ya Tatu ni kuibuka mtu ndani ya FSB akahasi na kutenga nchi Kwa matamanio yake !!!

Pamoja na kwamba wanatubagua weusi ila wao Kwa wao wanabaguana kuna maeneo baadhi yanapendelewa sana kuliko mengine jambo ambalo kila anayejaribu kuhoji anapewa chai polonium yanii
Kwa kitaalamu inaitwa kuna makundi yanajiona hayana nafasi Kabisa ndani ya Urusi ni makini, we call it
the separatist tendencies of minority ethnic groups in Russia .the transformation of National republics into full-fledged States.

Hawana common idea ya Taifa kila eneo lina mawazo yake juu ya kuendesha eneo lake ….

  • the large difference between the income levels of different social strata
  • the large economic gap between different regions of Russia
  • the complexity of communications between different regions of the country because of infrastructure underdevelopment
  • the breakdown of generations
  • the strengthening of existing schisms in a religious, cultural and national context
  • the strengthening of the power of local regional leaders
Haya Kwa kifupi yataiangusha Urusi iliyo moja.

Maandiko ukaa hata Kama si Mwaka huu itakuwa huko 2100 hatuko dunian

Britanicca 25/04/2022
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
 
Back
Top Bottom